Polisi tumedhulumia posho za tamasha!

Polisi tumedhulumia posho za tamasha!

Nafikiri magreat thinkers leo mmechemsha, lazima mfahamu kuwa si polisi
wote wanaohusika na hayo maji washa, lazima mtambue kuwa si polisi wote
wanafurahia kinachotokea. Wengine humu ni waandishi wa habari mnataka
kuniambia habari zote zinaandikwa vile zinavyopelekwa? Nyingine si zinahaririwa
kiasi cha kuharibu hata maana? Nyingine si zinakataliwa kabisa?
Hebu tuungane na hawa ndugu zetu polisi ndio watakaotusaidia mbele ya safari
hamuoni kama kila Mtanzania kachoka?

Karibuni ndugu zetu, karibuni Jamvini huenda hao wanaopost lawama ni MAGAMBA
waliopo JF wanataka kuwakatisha tamaa.
Tunahitaji msaada wenu ninyi ndo mmeshika silaha, kama una rafiki yako mwanajeshi
please mtonye kwani nao wanadhulumiwa sana!
 
Na posho zenu tumewadhulumu...'Ndio afande' kama majibu ndio hayo mnategemea nini hapo ili hali ninyi ni wakusema ndio afande
 
Hii ni dalili nzuri kuwa hivi karibuni tutakuwa nao hivyo tusiwakatishe
tamaa.
 
Hii ni dalili nzuri kuwa hivi karibuni tutakuwa nao hivyo tusiwakatishe
tamaa.

Well said GAZETI wakibadilishwa hawa tunaamia kwa walimu kwani haya ni makundi yenye wtz wengi na pia ushawishi kwa raia
Usisahau nafasi yao ktk zoezi zima la uchaguzi
 
Back
Top Bottom