Recent content by Omuzaile

  1. Omuzaile

    KERO Kibaha: Ushuru wa Tsh. 500 kila siku kwa Wajasiriamali wadogo ni ukandamizaji mkubwa

    Ni jambo la kusikitisha sana kuona jinsi Manispaa ya Kibaha inavyowakandamiza Wajasiriamali wadogo, akina mama ntilie, wauza nyanya, matunda, vitunguu, na bidhaa nyingine ndogondogo, wanaopanga biashara kandokando ya barabara. Leo hii, hata kama unauza debe moja la nyanya au machungwa, lazima...
  2. Omuzaile

    Barabara ya maili moja shule kwenda sheli ya zamani( Morogoro road) -KIBAHA

    Habari, Mwezi uliopita mlilipoti kuhusu kuharibika kwa barabara hapa maili moja- kibaha, barabara ya kutoka mtaa wa maili moja shule kwenda kutokea Morogoro road mtaa wa sheli ya zamani,( Diwani-Ramadhani Lutambi -CCM, MB- Sylvester Koka - CCM. Yaani Hadi Leo hii 6 May 2024, hakuna chochote...
  3. Omuzaile

    Masikini wana roho mbaya sana! Kaa nao mbali

    Inaonekana wanajamiiforum wote humu mnaamini uchawi, ishi na watu wote vizur, awe mdogo au mkubwa, kilema au mzma, maskini au tajir, maana hujui kesho yako itakuwaje, na Nan anaweza kuja kukusaidia
  4. Omuzaile

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sorry, kwa wale walio fanikisha kuomba nafas za wizara ya afya , vp kwenye academic qualifications upande wa bachelor mmejazaje?,
  5. Omuzaile

    Miaka 8 bila kazi, tangu nimalize chuo kikuu

    Naweza kusema ni kweli , Tanzania ina wenyewe
  6. Omuzaile

    Je, Economy Driver Company sio matapeli?

    Habari Wana jamii forum, ningependa kujua kuhusu hawa watu je sio matapeli? Kwa hapa Kibaha maili moja wapo ukumbi unaitwa mwitongo, kwakweli Wana wanafunzi wengi mno haswa kutoka mikoa jirani, nilimuhoji mwanafunzi mmoja kuhusu utaratibu wao ndo akaniambia ukiwa unaanza unaambiwa mafunzo ni...
  7. Omuzaile

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwa hapa dar es Salaam, walioitwa interview ya tax management officer 2, ukumbi wa dolphine mnma, nauliza upo sehem gan
  8. Omuzaile

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hiv ukumbi wa dolphin uko wap?
  9. Omuzaile

    Gari yangu inakimbia sana!

    Shida hao wote uliowapita hawakuwa wanajua kama mnashindana any way karbu kibaja maili moja
  10. Omuzaile

    Vita ya Walimu na Bodaboda. Walimu msiendelee kujitetea ndiyo mnazidi kuharibu

    Mimi hapa ni boda, napgia hapa mjini dar, nikiwa nafukuzia ajira na kadgree kamoja, Kwa upande wa kipato cha boda vs walimu ukweli ni kwamba boda wanapata hela sana, hauwezi walinganisha na walimu kwa upande wa boda wa kwenye miji. tatizo la boda ni kwenye nidhamu ya hela, akipata leo hamsini...
  11. Omuzaile

    Jezi Ya Simba SC itakayotambulishwa baadae

    MaMa bet kama wazamini wetu
  12. Omuzaile

    VITA YA UKRAINE VS JEZI ZA SIMBA

    Daah kama kichwa kilivyo hapo juu kuna mdau mmoja wa kolo fc anajitetea eti sababu ya kuchelewa kwa uzi wao ni sababu ya vita vya Ukraine vs Russian. Et jamani ni kweli nyie makolo?
Back
Top Bottom