Recent content by OMTIMBA

  1. O

    Utumaji wa taarifa za vyeti kwa walimu wa Sayansi

    Hivi juzi kumekuwa taarifa juu uhakiki wa vyeti hasa kwa wale wahitimu ualimu 2015-masomo ya sayansi,na taarifa hiyo ilikuwa inaonesha mwisho wa kupokea taarifa zao ni december 16,2016. Je, ni kweli hao wanasayansi wameshatuma hizo taarifa? Ni vema tukafahamu hili, ili kuthibitisha ukweli huo...
  2. O

    Msajili wa Hazina Ndg. Lawrence Mafuru hajui au kashasahau lugha ya Taifa ya Kiswahili?

    Nilfikiri ni mimi tu ndo nilikuwa nalibaini hili, kiufupi mshkaji anapenda sana michomeko ya kimalkia, na baadh ya ndg zang wengi watokao ukanda ule wakipata kacheo tu utawajua tu kwa kutupia vijimaneno visiyo na maana kwenye uwasilishaji wao.
  3. O

    Huyu Pogba wetu ni hasara tu

    Mchezaji gani huyu anapanic akiulizwa maswali magumu? Afu ni mlagai, alisema amesitisha kutoa pasi kwa mda usiozidi miezi miwili, sasa inaenda kuwa miezi 6 na bado hajatoa pasi kwa wachezaji chipukizi,kazi zake kupiga danadana tu na kupaka mpira rangi, Huyu Pogba hafai kuwa hata mchezaji wa...
  4. O

    Hata wakipata ajira, bado watalalamika mishahara haitoshi.

    Si ni afadhali ungepost hata pumba!!
  5. O

    Mwandishi wa habari huwezi kukwepa kuuliza swali zuri kama hili;

    Unapopata nafasi ya kumuuliza Mkuu swali, utashindwaje kuuliza swali hili? Tarehe 13/06/2016 ulisema umesitisha kupandisha madaraja,vyeo na Ajira,ukasisitiza kuwa haitavuka miezi miwili, na mpaka leo ni takribani miezi minne na nusu hivi toka umetoa tamko hili.Sasa ni lini Serikali itatoa ajira...
  6. O

    Raisi asifanye Mahojiano muda wa Kazi

    Hivi atakwepaje swali la ajira?
  7. O

    Mbowe alaani vibaya serikali kuwasitishia ajira mpya watumishi

    Pale mtu anapowaona watanzania wote hawajui hesabu! Hivi miezi miwili ina siku ngapi? Maana hadi leo ni kama siku ya 115 toka june 13
  8. O

    Huyu ndiye Mwalimu Frank Msigwa mtesaji mkuu wa mwanafunzi

    Huyu jamaa atakuwa anakifaham sana kiingereza? Coz hakuna andika wala speech yake amalize bla kutupia vocals! Huwa ananikosha sana mzee wa akili mfukoni!
  9. O

    Eckenford Tanga University tukutane hapa

    Typing error> former student
  10. O

    Eckenford Tanga University tukutane hapa

    Nipo hapa pia former students at Eckernforde Tanga university!
  11. O

    Rais Magufuli ateuwa Mkurugenzi Manispaa ya Bukoba na Mkurugenzi wa Hospitali ya Muhimbili

    Siku hizi watumishi wa Serikali hasa wale wa teuzi za kisiasa wamekuwa kama makocha!
  12. O

    Wataalamu wa Kiswahili uwanja wenu hapa.

    Wataalamu wa Kiswahili ningependa mnisaidie swali hili; Andika barua kwa Mhariri wa gazeti la Mwananchi juu ya tatizo la ajira Tanzania, jina lako ni KASHAIJA S.L.P 10. Butiama. Siyo mbaya hata ukinipa tu mambo/ hatua mhimu za kuzingatia ktk uandishi wa Barua za magazetini. Natanguliza shukrani!
  13. O

    Wataalamu wa Kiswahili uwanja wenu hapa

    Kwa wale Wataalamu wa Kiswahili ningependa kupata msaada wenu juu ya swali hili: Andika barua kwa mhariri wa gazeti la Mwananchi kuhusu kero ya ajira Tanzania. Jina lako ni KASHAIJA S.L.P 10 Butiama. Siyo mbaya hata ukinisaidia tu hatua/mambo mhimu ya kuzingatia ktk uandishi wa barua za...
Back
Top Bottom