sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Hili taifa la wavivu nani kalitengeneza? Mtu yupo nyumbani mwaka mzima tangu raisi aingie madarakani analalamikia tu serikali impe ajira. Na hata ikimpa ajira bado atalalamika mshahara hautoshi maana hatakuwa na shughuli ya kumwingizia kipato cha ziada. Nani kazalisha taifa la walalamikaji? Elimu ya ujamaa irudishwe mashuleni.