Kwa wale Wataalamu wa Kiswahili ningependa kupata msaada wenu juu ya swali hili:
Andika barua kwa mhariri wa gazeti la Mwananchi kuhusu kero ya ajira Tanzania. Jina lako ni KASHAIJA S.L.P 10 Butiama.
Siyo mbaya hata ukinisaidia tu hatua/mambo mhimu ya kuzingatia ktk uandishi wa barua za magazetini.