Recent content by Ommossani

  1. Ommossani

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umekosea tena; haupo kwa ajili ya kuongoza wanawake, bali kuongoza Watanzania wa jinsia zote

    Dawa yake ndogo sana... Ck ya uchaguzi tunaiba Kadi za wake zetu ili wasiende kupiga kura.
  2. Ommossani

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu hili la mimba

    Wapendwa habar za jumapili, Ninapata changamoto naombeni ushauri kwa wanaojua vyema. Mke wangu amejifungua mara mbili, zote kwa kisu, kwa sasa ananyonyesha mtoto wa mwaka mmoja ila tumejichanganya ana ujauzito wa mwezi mmoja na hatukua tayari kwa swala hilo kwa sasa coz bado wato ni wadogo na...
  3. Ommossani

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii app gani mzeiya?
  4. Ommossani

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    0ver 0.5 ni salama kidogo
  5. Ommossani

    JamiiForums Tanzania Shule za selikali za bweni zaanza kufungwa

    Ni matokeo ya kudandia hoja za watu bila kuwa na mipango kamili namna ya kutekeleza!!!!!! Acha tuisome namba...... Biashara ya watu ikiisha ndo tutashughukia hilo!!!!
  6. Ommossani

    JamiiForums Tanzania Kumbe Kakobe ni CHADEMA muda tu, ndio maana anaishambulia serikali ya CCM

    Kwani kumwambia rais akatubu ndio kuishambukia serikali? Kwa hiyo neno.... tubu.... ni bomu la nuclear au una maana gani? Au mtu akiwa rais hawi na dhambi?
  7. Ommossani

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Usalama wa Taifa msihangaike nami. Adai kuna kiongozi kavaa hirizi!

    Hatareeeee!!!! Sent from my Z4 using JamiiForums mobile app
  8. Ommossani

    JamiiForums Tanzania Historia fupi ya vita ya Kagera 1978-1979

    Vipi wale wale watanzania walouawa chuoni Makerere kuna anaejua sababu?
  9. Ommossani

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Hio ni bei gani?
  10. Ommossani

    JamiiForums Tanzania Salome Makamba(Mbunge), ahoji ujenzi uwanja wa ndege Chato, barabara ya Bagamoyo na ununuzi wa ndege

    Uzalendo ni kuharibu Leo 100 then kesho utengeneze 1
  11. Ommossani

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio na matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu, waulizeni wana Ikungi

    Miaka aliyoongoza hiyo Ikungi TL ukilinganisha na miaka walioongoza wabunge wa ccm unahc nani wa kulaumiwa zaidi? halafu kati ya Serikali na mbunge nani mwenye wajibu wa kuhakikisha huduma za jamii zinapatikana ? ........Aibu yako hata weewe!!!!
  12. Ommossani

    JamiiForums Tanzania Napongeza sana magazeti ya Mwananchi na Tanzania Daima kukataa ujinga huo wa serikali

    Kwa akili yako unataka kutuaminisha kuwa wapiga picha wa hao magazeti wote walipga picha inayofanana kama inavyoonekana.......... Elimu Elimu Elimu
  13. Ommossani

    JamiiForums Tanzania Facts: Kwanini Rais Magufuli atashindwa vibaya

    NAFIKIRI UNGETUMIA HOJA KUMPINGA INGEPENDEZA SANA........... Huo Uzi unaitwa ngumu kumeza!!!!!
  14. Ommossani

    JamiiForums Tanzania Facts: Kwanini Rais Magufuli atashindwa vibaya

    Uchumi unakuaje huku pesa inashuka tamani? sector ipi iliyokuza huo uchumi kwenye awamu ya tano?
  15. Ommossani

    JamiiForums Tanzania JamboLeo: Watanzania wakosa imani na 'Rais'

    Kama cjakosea neno Rais huandikwa kwa herufi kubwa kwa herufi ya kwanza (Nomino za pekee)
Back
Top Bottom