Recent content by ombalantu

  1. O

    Ongoing projects in Dar es Salaam Tanzania East Africa 2017

    Ahsante kwa Picha... Tupe na progress
  2. O

    Wa Mazengo Complex tukumbushane

    Mgalula..makunja..mshumbuzi..mzee shedy..kuchunga ng'ombe..kulinda..nyimbo ya complex...nakumbuka mengi wakuu
  3. O

    JF Exclusive: OC CID Kawe... (inahusiana na Dr. Ulimboka)

    Sijaelewa sababu za yeye kuzunguka mchungwa kwenda kupata matibabu, doctors wanabanwa na viapo na hawana roho za kijangili kama ma askari. karma is a bitch, no doubt about that, never mess with smarter dudes than you(that's the rule of thumb)(fikisheni ujumbe huu kwa low scores wanaomlinda...
  4. O

    Siungi mkono mgomo wa madaktari...

    Senior expert???? Huwezi elewa umuhimu wa daktari kama hujawahi ona uhangaikaji wao tangia masomoni mpaka mafunzoni na kisha wanapoajiriwa, ni mateso kuanzia mwanzo mpaka futi sita kaburini Yes,nakubaliana na wewe ni watumishi wa umma kama walimu, na wengineo VIpi unaonaje siku mkeo akiwa...
  5. O

    Waziri wa afya kaamua rasmi kupambana na madaktari?

    Naona aaibu huyu Ndugu Ponda kuwa mmoja wa waziri wa idara ya afya nchini. Inakuwaje waziri hajui analolisema? ni uzumbukuku au anatumia dermatomes kufikiria badala ya ubongo? Ina maana hana washauri? JK punguza kutuwekea mambumbuu kwenye wizara zako,ahhh
  6. O

    gari inauzwa

    mtwangie simu jamaa .kuna maelewano hapo yatakuwepo
  7. O

    Lawrence Masha - Mfano wa Ulevi wa Madaraka. Ajitangaza mshindi Nyamagana!

    teh tehe, masha unaisikia hii, nimeirudia mara ya 10 sasa,teh teh
  8. O

    GE2010 Dr. Kigwangala naye apeta Nzega!

    jamani si kila mgombea wa toka chama tawala ni mbaya,kijana ni mpiganaji,na natumaini atawakilisha vilio vya watanzania wengi na apewe nafasi,kama kashinda nampa hongera zake
  9. O

    Matrekta mapya ya john deere

    kama wana nia kweli ya kufanya biashara, nawashauri, wayalete ma tractor ya bei nafuu kwanza, wengi wetu at least tuweze kumudu kuyanunua, and ofcourse na nyie mtapata biashara,maana itatoka sana,nina wasiwasi na hii bei na kutoka kwake,unless kampuni imewalenga mafisadi wa kilimo
  10. O

    Matrekta mapya ya john deere

    bei mbona imekwenda hewani sana, hii issue ya kilimo kwanza imekuwa too thorny, sasa kwa mkulima alielewa na serikali yetu hii sidhani kama anaweza kuzimudu, hapo inamaana bei ya tractor ni tofauti na vifaa vyake,mweeeeeeeeeeeehh, ama kweli kilimo ndio backbone ya mtanzania,ndio hivi...
  11. O

    gari inauzwa

    gari hii imesasajiliwa na kwa sasa ipo tanga, imeendeshwa kwa miezi 7 tanzania, mwenye kupendezwa nalo awasiliane na bwana rashid omar 0713465613
  12. O

    nyumba inauzwa.

    hebu nitumie details at chadede@yahoo.com
  13. O

    gari inauzwa

    fungua picha na fanya biashara na mwenye namba hapo ktk attachment
Back
Top Bottom