Dr. Kigwangala naye apeta Nzega! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Kigwangala naye apeta Nzega!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by msikonge, Nov 1, 2010.

 1. msikonge

  msikonge Senior Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  :thinking::thinking:
  Kwa habari zisizokuwa rasmi yule kijana mwenzetu, aliyezushiwa ni Mrundi anazidi kuchanja mbuga kuelekea Bungeni, inaonekana ameendelea kuwaacha wapinzani wake ki-aina!
  Jamaa huyu akiingia bungeni na aamue kufanya kazi, hilo Bunge litachangamka sana!
   
 2. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,509
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Ni mgombea ubunge kupitia chama gani??
   
 3. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mrundi wa CCM. Afadhali angepewa Msomali Bashe.
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wabunge wa CCM= useless
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  KAma ni ccm basi afie mbali!
   
 6. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Yes,

  Kama hataathirika na siasa za CCM na makundi ya kifisadi, nadhani Kigwangalla ni kijana anayelifaa Bunge letu. Kwa bahati mbaya mpinzani wake mkuu, Mzee Meza alishindwa kuitumia vizuri fursa aliyopata kwenye mdahalo wa TBC1, alipwaya sana badala ya kuongeza kura alipunguza kura nyingi sana.
   
 7. msikonge

  msikonge Senior Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wow, hii inaonyesha jinsi watu walivyochoka na ccm! kila kitu related to ccm is rabbish isnt it?
   
 8. m

  mbarbaig Senior Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 151
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Napata taarifa tofauti kuhusu Nzega...tusubiri itangazwe rasmi...si kweli kuhusu mgombea wa CCM kuongoza
   
 9. Novatus

  Novatus JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 28, 2007
  Messages: 331
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mnaoshangilia usshindi wa ccm hamtakii nchi hii maendeleo
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Ni mwajiriwa wa WAMA ya dadaetu Salma
   
 11. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wabunge wa ccm come 2010 -2015. watafanya kazi kubwa sana maana wanajua kazi iko 2015 kutetea kiti
   
 12. msikonge

  msikonge Senior Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hata mie naamini hivyo, vinginevyo, nao yatawakuta yaliyomkuta Masha!
   
 13. msikonge

  msikonge Senior Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Yes, nami napenda kuamini hivyo. Akivurunda, itabidi tulifufue suara la uraia wake!:A S angry:
   
 14. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  kweli kabisa
   
 15. Sisimizi

  Sisimizi JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 490
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Tafadhali. sisi wengine ni wazee!!. Heri yake.
   
 16. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 420,741
  Trophy Points: 280
  Matokeo kule yaelekea siyo rasmi basi tusubiri kilicho rasmi.............
   
 17. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Unategemea nini kwa mtu aliyebebwa na Ridhwani kwa kumuondoa Bashe ili yeye kwa vile anamsaidia mama WAMA basi nae aingie mjengoni akatetee mambo ya first-lady!!
   
 18. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Ugali wa muogo kwenye HARUSI ya uswailini
   
 19. o

  ombalantu Member

  #19
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 26, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  jamani si kila mgombea wa toka chama tawala ni mbaya,kijana ni mpiganaji,na natumaini atawakilisha vilio vya watanzania wengi na apewe nafasi,kama kashinda nampa hongera zake
   
 20. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sikujua CCM ina Mamluki ...........:bowl:
   
Loading...