Matrekta mapya ya john deere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matrekta mapya ya john deere

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Butwas, Sep 27, 2010.

 1. B

  Butwas Member

  #1
  Sep 27, 2010
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  john-deere-7530-premium-series-tractor-2.jpg John Deere, kampuni yenye uzoefu wa muda mrefu katika uzalishaji wa zana za kilimo na matrekta, imeingia Tanzania na inauza matrekta madhubuti kwa thamani halisi ya fedha zako.
  Ofisi zetu zipo jijini dar es salaam, maeneo ya moroco katika mtaa wa ursino pembezoni mwa barabara iendayo mwenge.
  Kwa maulizo na maelezo zaidi piga simu namba: 0782 847456 au 022 2772775, e-mail: sales@csstanzania.com.

  Bei zetu ni kama ifuatavyo:
  1. John Deere 5303, (2wd, 55hp), $ 17,720.00
  2. John Deere 5403, (2wd, 65hp), $ 19,000.00
  3. John Deere 5403, (4wd, 65hp), $ 22,290.00
  4. John Deere 5503, (2wd, 75hp), $ 22,120.00
  5. John Deere 5503, (4wd, 75hp), $ 25,310.00
  Pia tunafanya matengenezo baada ya mauzo na tunatoa guarantee ya mwaka mzima na kuuza spea za trekta zinapatikana Tanzania nzima kwa wakati muafaka na sehemu husika.
  Hizo bei ni kwa ajili ya matrekta mapya.
   

  Attached Files:

 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Wanakaribishwa sana, wamefika kwa wakati muafaka, ila wajue wakulima wa Tanzania ni maskini hawana kitu, ni vema wakaweka mikakati ya kuwakopesha matrekta haya ili kujaribu kusapoti kilimo kwanza. Kwa hizo bei unapata na vifaa gani muzee?
   
 3. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  ndiomafanikio ya ziara ya Pinda ya hivijuzi kama hilivyo andikwa kwa michuzi au?
   
 4. B

  Butwas Member

  #4
  Sep 27, 2010
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amoeba
  Tunajishughulisha na mikopo ya kilimo kupitia taasisi za fedha zenye masharti nafuu kwa ajili ya zana za kilimo na matrekta.
  Karibu sana!!
   
 5. B

  Butwas Member

  #5
  Sep 27, 2010
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Arsene Wenger
  Ndio tayari tumeshaanza....
  Karibuni sana!!!
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye red ndy matatizo ya wakkulima yalipo!!! Kwa nini mkulima asifunge mkataba na Ninyi wenyewe? Kama upo hapa bongo utakuwa unafahamu matatizo ya benki zetu, ardhi ya mkulima yenye hatimiliki ya kimila hawaitaki kama dhamana-japo inatambulika!!!!
   
 7. B

  Butwas Member

  #7
  Sep 27, 2010
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amoeba
  Haujalifanyia kazi ndio maana unasema wanzikataa, kama unayo hiyo hati ya kimila nakuomba uje na copy ya hiyo hati. nakuhakikishia utapata mkopo wa zana za kilimo.
  Kiufupi kaa ukijua kuwa hati za kimila zinakubalika kwa asilimia 100%.
  Karibu kama unaswali jingine!!!
  John Deere
   
 8. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu hizi bei ni pamoja na implements au vipi?
  Niko interested sana na hizi gari!!
  Mfano nikinunua the smallest(55HP) unapata vifaa gani ili uingie moja kwa moja katika kuzalisha mali?
   
 9. M

  Msharika JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  sawa mzee
  ila hizo bei ni watanzania wachahche sana wanazimudu.
   
 10. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu! Kuna mdau hapa ameuliza, hizi bei zinainclude na implements gani? Thanx
   
 11. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hapo kuna 10% ya watu flani flani wala si bure biashar kama hiyo tz.UFISADI JUUUU
   
 12. B

  Butwas Member

  #12
  Oct 6, 2010
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizo bei ni kwaajili ya tractors tu, ukihitaji bei ya vifaa ama zana zinazokokotwa kwa tractor piga simu namba +255 713 847456 au uliza kupitia barua pepe: sales@csstanzania.com
   
 13. B

  Butwas Member

  #13
  Oct 6, 2010
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BEI YA PEMBEJEO ZA KILIMO

  (1). 3 BOTTOM DISC PLOUGH FOR 50HP-65HP TRACTOR: 3,290,000/=

  (2). 4 BOTTOM DISC PLOUGH FOR 75HP-85HP TRACTOR: 4,232,000/=

  (3). DISC HARROW FOR 55HP-65HP (9x9): 3,578,000/=

  (4). DISC HARROW FOR 65HP-75HP (10x10): 4,940,000/=

  (5). ROTARY TILLER, TILLAGE WIDTH 175cm, 42BLADES FOR 50HP-60HP TRACTOR: 4,466,000/=

  (6). ROTARY TILLER, TILLAGE WIDTH 200cm, 48BLADES FOR 65HP-75HP TRACTOR: 4,822,000/=

  (7). TRAILER 5Tons FOR 50HP-70HP TRACTOR: 9,397,500/=

  (8). TRAILER 9Tons FOR 70HP-90HP TRACTOR: 10,950,200/=

  Angalizo:
  Bei ya weza kubadilika wakati wowote kulingana na viwango vya dola ya marekani (Bei iliyotumika kubadilisha dola ya Marekani ni 1,500.00 ya tarehe 30.09.2010)


  Mawasiliano: +255 782 847456 au sales@csstanzania.com
   
 14. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kaka nimekusoma ila nina wasiwasi hapo hakuna fisadi yeyote?tusije tukawachangia hao watu kwasababu tunampango wa kuwatoa baru.
   
 15. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145


  Mkuu, sijakusoma vizuri. Hizi zana za Kilimo mnauza kwa dola za Kimarekani au TShs?. Kwa mkulima wa kawaidia unapo peg bei kwa dola za Kimarekani wakati unafanya biashara zako Tanzania, hapo unakuwa umemchota akili kabisa.

  Kwa nini dola za kimarekani kwa bisahaa ambayo unasema ipo nchini? au ndo kamtindo ketu kale ka kuagiza mzigo baada ya kupewa oda?.
   
 16. o

  ombalantu Member

  #16
  Oct 31, 2010
  Joined: Jan 26, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  bei mbona imekwenda hewani sana, hii issue ya kilimo kwanza imekuwa too thorny, sasa kwa mkulima alielewa na serikali yetu hii sidhani kama anaweza kuzimudu, hapo inamaana bei ya tractor ni tofauti na vifaa vyake,mweeeeeeeeeeeehh, ama kweli kilimo ndio backbone ya mtanzania,ndio hivi kweli?khaaaaaaaa
   
 17. o

  ombalantu Member

  #17
  Oct 31, 2010
  Joined: Jan 26, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kama wana nia kweli ya kufanya biashara, nawashauri, wayalete ma tractor ya bei nafuu kwanza, wengi wetu at least tuweze kumudu kuyanunua, and ofcourse na nyie mtapata biashara,maana itatoka sana,nina wasiwasi na hii bei na kutoka kwake,unless kampuni imewalenga mafisadi wa kilimo
   
 18. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Bei hizi zinajumisha na jembe lake?
   
 19. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #19
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,984
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  Ndg Butwas hizo bei ziko juu saana, na umepost kwa USD$ SI UNAJUA transections zetu hapa? Je tunaweza kulipa kwa awamu, installments?
  Je mnalo duka lingine mikoani kama Arusha especialy kwa kununua spare na fittings zingine!
   
 20. Mkoroshokigoli

  Mkoroshokigoli JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2015
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 14,419
  Likes Received: 2,519
  Trophy Points: 280
  Kwa sasa ni Kiasi gani?
   
Loading...