Fisadi sawa na jambaz tu mi sion sa7bu ya kuanzisha maakama ya mafisad, na kama kesi za mafisad hakuna ina maana wa2 wanakula mshahara wa bure fisad huukumiwa pale anapopatkana na hatia shuka halikumbukwi asubh……
Hii kitu ukishaonja inakuwa cronic kwenye damu ndo maana ray c alirudia tena kubwia unga sycologically m2 taari keshaathirika NO WAY OUT dearth it become leter!
Hata simba ingecheza yangetokea kama haya bt asilimia kubwa ya watanzania wamejiajiri wenyewe ni mda m2 kufka uwanjan haijalish mfanyakaz au xio mfanyakaz you see!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.