boxer unaweza kusimama hata kama iko kwenye gia no 4,haina muungurumo mkubwa kama sanlg,na wala hai vibrate kama mchna,kama ni mzoefu aw boxer unaweza kubeba watu wa tatu na wewe ukawa w nne na mwendo kibati.bomba la moshi haliunguzi kama mchina.inakwenda umbali wa km 59 mpaka 60 kwa lita moja ya mafuta wakati mchina ni km 32.KUNA MTEJA ALISEMA NIIPELEKE KKOO NA KWA KUWAULINZI KULE NI TAITI HUWA WANAONGEZA DAU KWANI HUWA HAINA PLATE NO NA BIMA,NASHUKA NA SERVICE ROAD MAPAKA MATAA YA CHANG'OMBE ALAFU NAKULA KUSHOTO HATA KAMA MATAA YATAKUWA VIPI DAKIKA TU NIKO SEHEMU YA KUSAFIRISHIA MIZIGO,WAKATI NARUDI KWA MIGUU NDO NAKUTANA NA TIGO WANAKUJA.PIA NILITOKA NAYO TAZARA KWENDA GOMS ILE TAA KUWAKA TUNIFIKA UWANJA WA NDEGE NDO SANLG INANIFUATA KWA KELELE NYINGI TENA NILIKUWA NASIT AKWA KUWA MAGARI YALIKUWA YANATOKA UWANJANI.SEMA JESHI LAPOLISI LINA HITAJI KUWAPA MAFUNZO YA KUTOSHA NA WATUMIE NAO BOXER.