Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

Tz tuna malofa na wapumbavu - Mkapa
Kuna vijana wa barabarani wanaomsapoti Lowassa - Dr. Slaa

MAONI: Mkapa na Slaa wametia fora. Malofa walimchagua Mkapa mwaka 1990 na 1995. Vijana wa barabarani walikuwa wakijaza mikutano ya Dr. Slaa mijini. Wote leo wanatukanwa.
 
Wee unamuamini slaa kwa lipi alikuwa wapi kusema hayo kabla hajampokea lowassa,maana ugomvi umeanza baada ya kuona lowassa atagombea urais,isingekuwa urais isingeleta joto.
 
Subiri October na sisi turudishe matusi yote tuliyotukanwa.
Mimi nimeenda mwenyewe kwa gharama zangu jangwani, nimerudi kwa miguu nikiwa kwenye maandamano na vijana wenzangu naambiwa eti nilibebwa kwa lori!!!
Huku mwingine anatuita malofa na wapumbavu. ...
#Imetosha
#TukutaneOctober
 
Hivi nyie nyumbu nani kawaroga? Mbona Dr Slaa kaongea mengi ya maana yenye faida na tija kwenye nchi hamkuyaona? Mmekaa kuchukua vineno vidogo vidogo mradi muendelee kuhadaa watu

ndio mtawajua nyumbu mwaka uhu tunavunja geti la ngorongoro mchaka mchaka mpaka ikulu na lowassa wetu,
 
Mabadiliko hayazuiliki hata iweje... Tumechoka na serikali ya CCM, hawana jipya.

Hata ajiuzulu nani sisi tutasonga mbele! wakati uliokubalika ni sasa.
 
Hivi nyie nyumbu nani kawaroga? Mbona Dr Slaa kaongea mengi ya maana yenye faida na tija kwenye nchi hamkuyaona? Mmekaa kuchukua vineno vidogo vidogo mradi muendelee kuhadaa watu

hayo yalishasemwa wakati wa sakata na watu wakawajibika nilichoona ni marudio ya richmond ambayo siyo habari ya mjini kwa sasa .ameishiwa sera sijui katogwa na nani wapumbavu na malofa katika ubora wao hawawezi danganywaa na huyo dr.
 
Hivi nyie nyumbu nani kawaroga? Mbona Dr Slaa kaongea mengi ya maana yenye faida na tija kwenye nchi hamkuyaona? Mmekaa kuchukua vineno vidogo vidogo mradi muendelee kuhadaa watu

wewe ndo nyumbu mzee kabisa kuwa mstaaranu acha matusi we wa kijiwe gani
 
Hivi nyie nyumbu nani kawaroga? Mbona Dr Slaa kaongea mengi ya maana yenye faida na tija kwenye nchi hamkuyaona? Mmekaa kuchukua vineno vidogo vidogo mradi muendelee kuhadaa watu
Tatizo kwa nini leo? na kama hakuwa nayo kipindi hicho ni nani kampatia
na kwa Lengo gani?
NGUVU YA KWELI YA WATANZANIA KUTAKA MABADILIKO ITATUONESHA RANGI YA KILA KITU.
 
Subiri October na sisi turudishe matusi yote tuliyotukanwa.
Mimi nimeenda mwenyewe kwa gharama zangu jangwani, nimerudi kwa miguu nikiwa kwenye maandamano na vijana wenzangu naambiwa eti nilibebwa kwa lori!!!
Huku mwingine anatuita malofa na wapumbavu. ...
#Imetosha
#TukutaneOctober

Kuna rafiki zangu walikuja kutoka Morogoro kwa usafiri binafsi walikuwa na hamu
ya kushuhudia uzinduzi, nashindwa kumuelewa Drslaa kwanini anatumia nguvu
kubwa kuitaka CCM irudi madarakani.
 
Kuna rafiki zangu walikuja kutoka Morogoro kwa usafiri binafsi walikuwa na hamu
ya kushuhudia uzinduzi, nashindwa kumuelewa Drslaa kwanini anatumia nguvu
kubwa kuitaka CCM irudi madarakani.
Wewe unasema hapo Morogoro tu? Kuna jamaa wawili nilikaa nao waliniambia wametoka Zambia kuja kushuhudia tukio lile la kihistoria.
Bado hawa waliotoka mikoani walikuwa wengi sana!
 
Back
Top Bottom