Parasite JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 613 Reaction score 580 Sep 3, 2015 #1 za asubuhi wadau samahani ninatafuta smartphone ya bei po nina 200 mwenye nayo atupie picha nipo chuga
za asubuhi wadau samahani ninatafuta smartphone ya bei po nina 200 mwenye nayo atupie picha nipo chuga
mandwa JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 1,502 Reaction score 372 Sep 3, 2015 #2 Nenda dukani utapata mpyaa
T The Evil Genius JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 6,151 Reaction score 20,076 Sep 3, 2015 #3 Njoo nikupe lumia 535, mpya ninetunia mwezi mmoja.
QUALITY CARS JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 515 Reaction score 238 Sep 3, 2015 #4 Njoo dukani - warranty miezi 12 pamoja na risiti !! 0655 518090
Pmrika JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 374 Reaction score 210 Sep 3, 2015 #5 Kanunue TECNO, nenda kkoo msimbazi.
omaryntandu Member Joined Aug 23, 2015 Posts 15 Reaction score 3 Sep 3, 2015 #6 Ongeza alfu 50 nkupe sumsun S3
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 Sep 3, 2015 #7 Hiyo 200k utaishia kwenye mitecno tu mkuu
roby2006 JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 421 Reaction score 113 Sep 3, 2015 #8 Ilisolokobwe said: Hiyo 200k utaishia kwenye mitecno tu mkuu Click to expand... Ye kasema anataka smartphone hajasema aaina ya cm
Ilisolokobwe said: Hiyo 200k utaishia kwenye mitecno tu mkuu Click to expand... Ye kasema anataka smartphone hajasema aaina ya cm
mukulupapaa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 2,930 Reaction score 1,734 Sep 3, 2015 #9 Parasite said: za asubuhi wadau samahani ninatafuta smartphone ya bei po nina 200 mwenye nayo atupie picha nipo chuga Click to expand... kuja chukua S2 hapa
Parasite said: za asubuhi wadau samahani ninatafuta smartphone ya bei po nina 200 mwenye nayo atupie picha nipo chuga Click to expand... kuja chukua S2 hapa
Parasite JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 613 Reaction score 580 Sep 3, 2015 Thread starter #10 momo j said: Kanunue TECNO, nenda kkoo msimbazi. Click to expand... munawari nije dukani wapi na pia samahani ni aina gani ya cm unayo
momo j said: Kanunue TECNO, nenda kkoo msimbazi. Click to expand... munawari nije dukani wapi na pia samahani ni aina gani ya cm unayo
Parasite JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 613 Reaction score 580 Sep 3, 2015 Thread starter #11 Munawar said: Njoo dukani - warranty miezi 12 pamoja na risiti !! 0655 518090 Click to expand... munawari duka gani ndugu na ni cm gani utanipa kwa hyo pesa
Munawar said: Njoo dukani - warranty miezi 12 pamoja na risiti !! 0655 518090 Click to expand... munawari duka gani ndugu na ni cm gani utanipa kwa hyo pesa
QUALITY CARS JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 515 Reaction score 238 Sep 3, 2015 #12 Tecno , Viwa , itel
Pritty wa joseph JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 2,379 Reaction score 2,051 Sep 4, 2015 #13 Ongeza 20k nokupe s2 mpyaaa
majay86 Member Joined Aug 30, 2013 Posts 84 Reaction score 11 Sep 4, 2015 #14 Nitafute nikupe nokia kumia x2 dual sim
Ndebile JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 8,246 Reaction score 12,789 Sep 5, 2015 #15 majay86 said: Nitafute nikupe nokia kumia x2 dual sim Click to expand... Lumia iko wapi mkuu, yaani unapatikana wapi
majay86 said: Nitafute nikupe nokia kumia x2 dual sim Click to expand... Lumia iko wapi mkuu, yaani unapatikana wapi
Abdulkareem Shazeed Member Joined Jul 13, 2012 Posts 48 Reaction score 150 Sep 6, 2015 #16 njoo uchukue nokia lumia 920 kwa laki mbil tu niko Dar 0689 55 44 38 niko Dar