Recent content by omary sadick

  1. O

    Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Msaada jaman mtu anielekeze kipengele cha kujaza education kama unatumia fan kuomba vip n lazma tena tuadd tena na vyet vya 4m iv na vi?
  2. O

    Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Ajarbu kutuma usku na kama uko na laptop n vzr zaid kulko simu
  3. O

    Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    KWa wanaomba kupitia fani n lazima waadd na vyet vya 4m 4 na six kama vipo?
  4. O

    Wizara ya Afya mtuangalie upya wanataaluma wa Maabara za Binadamu

    Sawa hata analyelipa iyo laki n nusu pia anapata maumivu ujui katoka familiya yenye kipato gani na
  5. O

    Wizara ya Afya mtuangalie upya wanataaluma wa Maabara za Binadamu

    Kwel mkuu umeongea point kabisa yaan hyo mitihani unafelishwa mpaka basi utakuta MTU umetoka katika familia yenye maisha magumu umepamban kwa aina zote umepata hyo laki na nusu unaenda fanya mtihan lakn wanakufelish kusud ili urudie tena uwape hela inauma sana
  6. O

    Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

    haaaa wasanii wote wakiwa kama kibakuli nyimbo moja kwa mwaka utazani ni mimba mzk wa bongo nao utakuwa ZILIPENDWA
  7. O

    Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

    mtoa mada pia na ww zilipendwaaa
  8. O

    Ni kweli kwamba hata diploma wanaomba mkopo kupitia HESLB?

    haa haaa ndugu mie nmepewa hyo taarfa lakini skuwa na uakika
  9. O

    Ni kweli kwamba hata diploma wanaomba mkopo kupitia HESLB?

    ok sawa kuna rafki yangu kanipa hyo habar
  10. O

    Ni kweli kwamba hata diploma wanaomba mkopo kupitia HESLB?

    Napenda kuuliza nasikia ya kwamba pia walioomba diploma pia wanaomba mikopo????
  11. O

    Naomba muongozo wa kufanya application UDOM

    ok nashukuru ndgu vip kwa diploma ni koz gan zinatolewa
  12. O

    Naomba muongozo wa kufanya application UDOM

    jamani nataka kufanya application chuo cha udom kwa ngaz ya diploma mwenye link /tovut naomba anisaidie
  13. O

    Tulioapply diploma tukutane hapa

    yko mengi mfano wengi wanasumbuka katka kuapply ila kupitia umu wapo wanaoweza kutoa ushaur jins ya ya kufanya hayo maombi
Back
Top Bottom