Naomba muongozo wa kufanya application UDOM

Naomba muongozo wa kufanya application UDOM

We jaribu kuwa kama msomi.. unaomba namba ya malipo ya fedha kiholelaholela namna hii... ukidanganywa humu itakuaje...Acha kupenda kitonga, kama uko serious na mambo yako basi ingia in website yao au hata kuwaface via phone then upate uhakika...
Be carefully always
 
jamani nataka kufanya application chuo cha udom kwa ngaz ya diploma mwenye link /tovut naomba anisaidie
 
Ingia website ya Chuo www.udom.ac.tz utakuta kialama chekundu Apply here uclick hapo Utatengeneza Profile yako Ila kuna kipengele kimoja cha malipo kuna Options mbili TigoPesa NA CRDB tumia tigo Pesa ila Uwe very sharp kdg .... Kwa msaada zaidi Karibu Mkuu....

KIMEO CHANGU
 
ok nashukuru ndgu vip kwa diploma ni koz gan zinatolewa
 
Kwa aliyefanikiwa kufanya application UDOM ( ngazi ya degree) naomba anifahamishe haya:

1. Malipo halisi ni sh. ngapi.

2. Je naweza lipia kwa M - Pesa au ni tigo pesa na crdb tu?

Nitashukuru sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha msingi uandike namba yako afuuu mwisho wa siku wao watakutumia passcode wewe unaichukua hiyo code unaandika kwenye field required wao wana kata chao mimi nilikuwa ma 50k kwenye applications nikafanya kama hapo juu nkakatwa 10k ...

Ni hayo tuuuu
 
Okee. Kumbe wanakata moja kwa moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani naomba kuuliza kwenye system ya UDOM online application unapojaza ikifika katika ku-select applicaton level inatokea option moja tu ya graduate

Kama kuna mtu anafahamu namna ya ku apply undergraduate naomba anifahamishe tafadhali

ASANTENI

Check hii: University of Dodoma Invitation for Undergraduate Programmes for 2019/2020 Academic Year: Apply online here
 
Back
Top Bottom