Recent content by oloripa

  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilisafiri na shemeji, kilichotokea naomba Mungu kaka asijue

    Bora ulivyogonga mkuu coz ungekataa angekuja kusema kwa bro ulimtongoza !!!
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kukutwa na janga hili katika mapenzi?

    Vai: Nimeolewa nina mtoto mmoja, mme wangu anapenda sana kushika shika makalio yaani akiona niko mtupu tu basi bora anishike hata makalio aridhike, sikuogopa nilijua mwili wangu ni haki yake nikawa namuwachia, tukilala tu, anaweka mkono kwenye makalio ndio usingizi unampata alizowea hivyo...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Jamani ukitaka kufanya maombi zaidi kwa nafasi zaidi ya mojo inakuaje kwenye Atachiment ya barua za maombi inawekwa vipi pale unatupiaje yani???? Pls msaada jamani
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamembaka mke wangu, nimeona niachane nae tu

    Kaka nimeuelewa sana uamuzi wako tena kwa ushauri angeenda kuugulia kwao kabisa mkuu
  5. O

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu JKT

    Watamrudisha tena haingii hata getini na mbona amewahisana kwani kapangiwa kikosi gani
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    kaa naye chini mweleze akizingua piga chini kaka haina sababu ya kuendelea kuumia coz inaonyesha umemuoneshe kila aina ya busara ila anajifanya haoni piga chini mademu kibao kaka presha za nn
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kimarangu ni hatari

    mtuahie tuoane bana kama mnaogopa:laser:
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemuuzia maziwa ya ng'ombe yeye akanipa maziwa yake bure

    Asee nimeisoma nikajikuta natamani ingekua mimi hapo ningesha tupia mpira kwenye nyavu kama messi vile
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

    Baba vuta kitu kipya cha kibongo utulie nacho maisha menyewe mafupi stress za nn kaka
  10. O

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ITV wanapenda kuripoti habari za migogoro zaidi ya za maendeleo?

    Itv ulitaka wasifie ujinga sasa!!!
  11. O

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Bonge la idia mkuu big up
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vitu mwanaume anavyotakiwa kuwa ameshavifanya akifikia miaka 30

    Mada nzuri mkuu inatusisimua wengi hususan 29yrs .nadhani inatakiwa angalao awe anaweza kujitegemea na kuweza kua na mtizamo chanya ktk maisha ni kipindi ambacho starehe za kihuni zote zinatakiwa kusahaulika nakua mpambanaji wa maisha
  13. O

    JamiiForums Tanzania Makampuni mengi ya watu binafsi hayathamini waliosoma Masters Tanzania

    Tatizo lipo kwenye sera za nchi kwenye kuajiri watu kutoka nje mkuu
  14. O

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NMB, walishaita watu kwenye usaili?

    Use to whom it my concearn
  15. O

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Sikushauri kwenda jkt kama unaelimu yako mkuu komaa kitaa ipo siku utadaka mishe
Back
Top Bottom