Recent content by ollo

  1. O

    JamiiForums Tanzania Chuo cha IFM na ufisadi kwa vijana wetu

    Duh hakuna kitu muhimu kama hiyo bima ya afya
  2. O

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Sheikh Ali Comorian afariki dunia

    Nashukuru umejua kuwa wajibu wetu ni kuhubiri neno na si kuhukumu
  3. O

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Sheikh Ali Comorian afariki dunia

    Ndio maana toka mwanzo nimekuambia fundisha neno ila usihukumu........kuwasaidia kwa kuwafundisha ni vizuri kuliko kuwahukumu....ukimuhukumu mtu imekusaidia nini????..... Na kama ingekua nauonea aibu ukristo wangu sidhani kama ningesema hapa........ukitaka kuendelea kubishana sawa.mimi nimemaliza
  4. O

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Ndani Ya SCOAN Leo 28.12.14

    Mlikua mnafanyanini
  5. O

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Ndani Ya SCOAN Leo 28.12.14

    Una uhakika gani kuwa Mungu unaemuamin wewe ndio mungu wa mwigulu na tbjoshua?????. Pili hujui kuwa kuna madhehebu na kila mtu anaenda anakotaka kuna ubaya gani yeye kwenda SCOAN???.....
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Ndani Ya SCOAN Leo 28.12.14

    Wewe ndio ulisikia baada ya tukio kutokea
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Ndani Ya SCOAN Leo 28.12.14

    Sioni tatizo kwa mwigulu kwenda SCOAN...kwani maisha ya mwigulu ni siasa tu hana mambo mengine ...hatakiwi kumtumikia mungu wake anaemuamini??????
  8. O

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Ndani Ya SCOAN Leo 28.12.14

    Kumbe inasemekana mi nilijua una uhakika
  9. O

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Ndani Ya SCOAN Leo 28.12.14

    Usiongee usilolijua.....uliambiwa hakufunuliwa???
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya mapenzi gani sasa?

    Hahah eti ndio maana anawatisha umenifurahisha
  11. O

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Peleka huko
  12. O

    JamiiForums Tanzania Patcho Mwamba 'ala vitasa' baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

    Emperor of the sea
  13. O

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka ashauri wabunge wasiwe Mawaziri!

    Mfa maji
  14. O

    JamiiForums Tanzania Aliyetabiri mwisho wa Dunia, afariki!

    Apumzike alipochagua enzi za uhai wake
  15. O

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Kwenye ukwel tunasema ...kwani ni mbaya.????... Naangalia ukweli bhana
Back
Top Bottom