huyu ni mwandishi wa habari kiteto...anyway hoja yake ni nzuri ila anatakiwa aelewe kuwa jamii forum ni mtandao mkubwa sana wa kupashana habari za ndani na nje ya nchi...humu hawapo wanakiteto wengi hivyo angetafuta njia sahihi wao wapate habari hii kwa urahisi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.