kuna mambo hata ukiangalia kiakili basi hayapo sawa ... hapo wewe ni akili yako kufuata au kutokufuata ,,, Mtume (SAW) aliliwata waislamu wafuate viongozi wao wa dini ... kama huwaamini fanya wewe unavoona ni sawa " FUNGENI KWA KUUONA MWEZI NA FUNGUENI KWA KUUONA MWEZI " ... chambua hayo maneno...
Nilihitaji kujua kazi ya " Insurance surveyor and loss assessor " ipoje na inalipa kwa hapa kwetu Tz ?.Naombeni msaada wenu wanaJF kwa mwenye uelewa na mabo hayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.