Nadhani ishu ya kujua ni lini kauli imetolewa ni ya msingi pia, Kama alikuwa Clouda au lah, Ila msela Naona ustaaaaarabu na ustaaaa wake Kama hauko tena vile, na je Kafuta kweli kauli???
kwani kuna mtu kaona hii taarifa kwenye TV?? Smartphone yangu ndo imenipa info. nilishaaaambiwa na wanyamaaa kama 6 hivi ndo nikawasha zangu dataa paaaaaaappp nakutana na hii show ya DOM daaah #TBC bhanaaaaa wafeeeee
kamaaa uko kwenye hii age yetu ukitaka kuoa sura lazima ikupe ruhusa ya kufanya hivyo, kama uko kwenye hiyo tamaa ya sura na sio 'wife material' basi kaakaa kwanza kaka!! mke ni zaidi ya sura na kila unachokiona kwa nje ya mwanamke!!!
Wadau kwa waliwahi kuishi Iringa na wakawa na mzuka na Redio Iringa maaarufu kama Ebony FM sasaaa wanaweza kuipata pia wakiwa dar kwa 106.9/90 kuwa deeeep ni kujaribu kuona ni jinsi gani vyombo vya habari vinacover story moja, namnaaaa ambavyo story moja inakuwa covered
daaaaaaah yaaaaaan nje ya jengo letu la ofisi kuna hiyo miti na mbegu zake zimeangukaaaa tuu chini, nilijarib one day zina kamaaa ukakasi flani kwa umbali ilaaaaaa baaada ya kusomaaaa hapaaaa naona hata ule ukakasi hautokuwepo tenaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
Elimu mfumo!!!
Ukiwa na adv. diploma au post graduate vina kuruhusu kufanya masters degree Mzumbeni, na ni mfumo ambao uwaga upo duniani kote, u-shallo wa ulokutana nao ni kitu kinginw na jinsi ambavyo alikaa na kujifunza, ungeulizaa kwanzaaa!!
#teamMU2013
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.