Mmh! Usikute mwenyewe anajua kuwa mkewe huwa hawashi data. Ila ushauri mzuriUsichepuke. Mda mwingine anaweza kuwa amewasha data mda wote. Lakn kumbe hata hachat. Mfano mimi Huwa sizimi data mara kibao rafk yangu wa kike aninituumu simjibu meseji zake lakn huwa nipo bize sana mimi ni Mwalim wa sekondari nafundisha sayansi hivo mda mreeef sana nakuwa biz darsn, huku data Zikiw on na cm ikiwa ofsn. So ndg Usichepuke hiyo si solution . pengne yupo katulia zake unamhisi tuu