Wanaume mna matatizo gani ?

Wanaume mna matatizo gani ?

Last edited by a moderator:
Eti? washangaa nini? masikio juu juuu kaa panga boy, mwanamke mpana wewe kaa msuli lol, embu tulia tulii ama nikununuli kachori?

Ahhhha umbea sunna.dada kusutwa majaliwa halaf usisahau macho hayana pazia napita tuuu
 
Sijui ulikusudia kujadili nini hasa maana naona umechanganya kwa kudonoa donoa mada nyingi tu
 
Wapita umeambiwa kuna jjia hapa huoni kua njia closed?
Nenda njia alopitia junior.Cux siasa hapa ma-staff tu ndo wanapita eneo hili sawa wewe
Ahhhha umbea sunna.dada kusutwa majaliwa halaf usisahau macho hayana pazia napita tuuu
 
Last edited by a moderator:
kufikisha mwanamke sio wingi wa magoli,usifananishe mapenzi na mpira ambao ili uwe mshindi ni idadi ya magoli utakayofunga bali inahitaji ufundi wa kutosha. Pia swala la kukaa home bada ya kutoka kazini ni ngumu,huwa tunaenda kubadilishana mawazo kijiweni
 
Thread kila siku kufika kileleni hivi haoni kichefuchefu kurudiarudia mada moja kwaka mzima?
 
Kuandika ni rahisi sana, ila ishu ni kueleweka...!!!
 
mmmmh naupite kwanza hili sio jukwaa lako embu nenda jukwaa la siasa apa umekosea njia

hahhaha huko washanchefua... hela wanakula wenyewe, yani nahasira mpaka basi!!! huyu rugemalira nikikutana nae atanijua tu
 
Una hoja za msingi na umetoa ushauri mzuri kabisa! Lakini hapo kwa wazazi Mimi nakataa kabisa na kama unaingia kwenye ndoa ukitaka kuwa zaidi ya wazazi wa mumeo basi ndoa itakushinda!

Dai haki zako lakini usithubutu kujilinganisha na wazazi wa Mumeo!

Hakuna mtu anaweza kuwa zaidi ya wazazi!
 
Back
Top Bottom