Recent content by oldgold

  1. O

    JamiiForums Tanzania Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

    Nipe namba za mkeo!! sio kwa diko hili
  2. O

    JamiiForums Tanzania Tabia hizi za Rais Magufuli zinaishushia hadhi taasisi ya Urais

    Kwa hii hali Kikwete atabaki kuwa the best
  3. O

    JamiiForums Tanzania Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

    Nyama ya kuonja inaladha yake
  4. O

    JamiiForums Tanzania Sasa ni zamu ya Ruangwa: Uwanja wa michezo wa kisasa kujengwa wilayani humo

    Kwani Ruangwa hawalipi kodi???
  5. O

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mwanaume ana mke mrembo ila anatoka nje ya ndoa?

    Mke mmoja hudumaza akili
  6. O

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mwanaume ana mke mrembo ila anatoka nje ya ndoa?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  7. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini hata watumishi wa umma wanapotoa taarifa ya kitaalamu lazima waseme Rais mpendwa anayependwa na watanzania!!

    Kwa jinsi hali ilivyo lazima useme hivyo ili ulinde ugali wako
  8. O

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha viwanjani cha AZAM 2 leo kilikuwa ni zaidi ya kipindi cha michezo

    Uzi umetulia sana huu
  9. O

    JamiiForums Tanzania Tuwaanike memba ambao mabingwa wa kuchangia tu lakini hawajawahi kuanzisha thread zao.

    Wengine tuko humu kwa ajili ya kujua na kusoma mambo mengi mazuri Maana huko kwengine mambo mmmmmh
  10. O

    JamiiForums Tanzania Clouds TV Rekebisheni Usikivu wenu.

    Hahahahahaha
  11. O

    JamiiForums Tanzania Clouds TV Rekebisheni Usikivu wenu.

    Hata muonekano wa studio wabadilishe pia
  12. O

    JamiiForums Tanzania Arsenal vs Man city itaonyeshwa na channel gani?

    ITAKUWA NI ITV
  13. O

    JamiiForums Tanzania Ccm oyeee @ccm_tanzania

    Mimi sijui ni upungufu wa mawazo fikra au nini haswa? Au ndo tuseme ni kulizika na hali au nini hasa? maana nashindwa kuwaelewa mtanzania na watanzania wa aina yako au kwako maisha yamekuwa mepesi kiasi gani kwako?
  14. O

    JamiiForums Tanzania WanaCCM wenzangu tutete: Mtulia hana sera, anatuaibisha!

    Haya tumekusikia
Back
Top Bottom