Tabia hizi za Rais Magufuli zinaishushia hadhi taasisi ya Urais

Sawa,si kadhaminiwa ?
Mshkaji, mbona linakuuma sana hawa jamaa wakiwa huru? Sema tukusaidie isijekuwa kuna mahali pa tamu mnanyang'anyana! Acha roho ya hivyo ukingatia kuwa kuna kesho na bado utatakiwa kuishi! Jifunze kupuuza yasiyokuwa na faida ya moja kwa moja kwako ujipunguzie uzee!
 
nilishawahi kusikia pia mnamlalamikia aliyepita kuwa kashusha hadhi ya taasisi anachekacheka tu etc etc.

Kinakushangaza nini na huyu kulalamikiwa kwa kufanya ukatili, au unadhani ufedhuli ndio kupandisha hadhi ya urais? Kuna viongozi wengu tu tumewaona wazuri na sio kwakuwa walifanya ufedhuli na kutokuchekacheka bali ni ubora katika kuongoza kwao. Mifano ipo mingi sana, Mandela alikuwa rais mzuri, kwa sababu alitenda kwa haki na kujali maridhiano. Usidhani angeonekana rais bora kwa kuwatesa wazungu kisa waliwatesa watu weusi. So usidhani ubora wa rais wa siasa ni kinyume cha aliyepita kwa tabia binafsi za kucheka v/s kujunja ndita. Kama unadhani hivi ndio vipimo vya rais bora basi utachekwa.
 
Urais hausomewi kwa hiyo hakuna mwongozo unaombana mtu kuufuata! Hali kadhalika kila mtu amezaliwa, kulelewa katika mazingira tofauti tofauti, kwa hiyo ni juu yake kutenda anavyoona inafaa ili mradi havunji sheria za nchi; mengine yote ni maoni binafsi kuhusu hulka na silka ya mtu, sote tuko tofauti na utofauti wetu ni mtaji wa maendeleo.
 
Tatizo mlizoea kubembelezwa na kudeka kwa kauri za JK,mpaka mkamuita dhaifu.
Sasa tulieni,JK aliwaambia wakati anaondoka ya kua mtamkumbuka,mlijua ni mzaha.

Sasa mnalialia hovyo,huyu hakopeshi,najua ukweli ni mchungu lakini lazima usemwe tu,
Hivi rais kutoka kadamnasi na kudanganya nayo ni sifa ya kua mkweli?
 
Tunazungumzia Tabia za Mtu kuishushia hadhi taasisi ya uraisi. ile nafasi inakulazimisha uwe SMART hata kama ni dhaifu au mshamba. Mwenendo wa rais wetu kwa sasa unaishusha hii taasisi.
Hoja ya tasisi kushushiwa hadhi,wapiga zumari wa mfalme hawawezi kuiona.
 
Baba mzazi halisi huongea na wanae kwa staha na upendo na hata wana wakimkosea huwaonyesha makosa yao na mkosaji akajaiona kweli amekosa na kuungama.

Baba/Mama wa kambo yeye kazi yake ni vijembe na vitisho na hufurahia sana wanafamilia wanapotengana kwa kupandikiza chuki na fitina kwani yeye sio damu yake na anatokea mbaaali huko! !!
Watu waliaminishwa kupata noa kila raia,kina pangu pakavu tukachekeleaaaa
 
Kuna mzee mmoja aliwahi kusema kwamba, huyu mchato anatuonyesha tabia yake sio urais coz urais ni taasis, huwezi kuonyesha tabia yako binafsi
 
matusi ya nini tena, njoo na hoja usitukane mama zetu mama zetu hawapo hapa tunamkosoa mkuu wewe unaanza tukana mama zetu vipi huna mama wewe eti haya tukutane tarehe 26/04/2018
Haaa haa awamu hii mmebanwa makende, hakuna pa kutokea, hakuna kuitwa ikulu mkanywe chai ,ukileta fyokofyoko SEGEREA TU.
wewe unataka lugha ya staha ya nini,
safari hii karai litaitwa karai,n yie nyumbu mnayo staha hadi utake staha,
kwa taarifa yako watz wanapenda sana hiyo lugha ya moja kwa moja isiyo na unafiki ndio maana hata madiwani wenu wanamfuata lumumba.
Mpaka muombe poo
 
Salamu wana JF.

Kuna mambo yanaendelea na sasa yamekuwa ni tabia kwa mkuu wetu wa nchi, kwa maoni yangu, Rais JPM amejijengea tabia ambazo kwangu mimi naona hazikupaswa kufanywa na kiongozi mkuu wa nchi kama yeye.

Rais ni kiongozi mkuu wa nchi ambaye nadhani hapaswi kuonesha chuki hadharani dhidi ya jambo fulani, anapaswa kutumia lugha za kuiongozi hata kama amekerwa na jambo na sio kuonesha ghadhabu. Kuonesha tabia za kukasirika kasirika kila wakati kwa kiongozi wa juu kunapunguza ladha ya hadhi ya kiti cha uraisi.

Rais ni kiongozi mkuu wa nchi ambaye hapaswi kuwa mwepesi wa kutoa matamko kwa mambo mepesi na kuegemea upande hasa inapoonekana upande huo unavunja sheria za wazi zilizowekwa katika kuongoza mambo yetu.

Rais ni kiongozi mkuu wa nchi ambaye hapaswi kutoa lugha tata zinazoibua maswali na minunguniko, anapaswa kutoa kauli ya kujibu kero za wananchi na kauli hizo ziegemee uhalisia wa jambo na haki na kushughulikia kero ambazo majibu yake hayakwazani na sheria na maamuzi ambayo huko nyuma yalishafanyika kwa misingi ya haki ( to be a problem handler).

Rais ni kiongozi mkuu wa nchi ambaye hapaswi kuchochea ukinzani bali anapaswa kuwa tumaini pale kunapoibuka sintofahamu kwenye jamii na kwenye nchi

KWA NINI NIMESEMA HIVYO ?

Kwa maoni yangu rais JPM hafanyi vizuri katika maeneo yote hayo, Mara nyingi kunaibuka sintofahamu kwenye jamii juu ya jambo fulani, lakini mara tu atowapo neno basi sintofahamu na minunguniko inazidi mifano ya karibuni ni .

Uzalendo wa makinikia
Hali ngumu ya maisha na kauli za wapiga dili.
Kukosekana mshikamano na umoja na kauli za mimi sipangiwi. N. k.

Maeneo hayo na mengine Rais alitakiwa kuja na kauli ya kuwavuta watanzania wote( Impresive language) na sio kuanza kubeza na kutoa kauli za kuwagawa watu hasa kwenye ajenda ambazo zina maslahi ya Taifa. Hiki kinachoendelea sasa ni matokeo ya kukosekana weledi katika maeneo hayo na sasa jamii inamuona rais wetu kama mtu aliyekosa mwelekeo kumbe ni kukosekana vitu fulani fulani tu.

LAWAMA KWA WASAIDIZI.

Sijui kuna nini lakini inaonekana hawa wasaidizi wa Mh Rais bado hawajafanya kazi yao. Kwa nini makosa haya yanajirejea rejea kila wakati? Kwani huko nyuma ilikuwaje kwa hao marais waliopita ? Hatukutegemea kuteleza kwa kauli zaidi ya mara moja vyenginevyo itakuwa kuna tatizo mahali. Mimi nawalaumu hawa wasaidizi na kama kuna tatizo binafsi kwa JPM jambo ambalo mimi silikubali kwamba eti alivyo ndio lazima tuwe watanzania wote si kweli. Unapoongozwa na mfumo inabidi wewe ndio ufuate mfumo ulivyo. Hii taasisi mfumo wake siku zote haukubali kwenda shaghala baghala na kutoa mikauli ya mijadala na minunguniko si kweli .

Kwa nini hao wasaidizi wasijiuzulu kama JPM ana tatizo binafsi, ikiwa ni hivyo basi hao wasaidizi ndio wabinafsi.

Tabia ya mtu haipaswi kuwa mwenendo wa taifa na ndio maana tukawa na KATIBA, SHERIA, BUNGE na MAHAKAMA.

Tukisikiliza maoni tunaweza tukabadilika, kukataa mawazo ya wengine si mwarubaini wa kukubalika

Mungu ibariki Tanzania.

Kishada
Mlizoea kubembelezwa. Huyo si wa type hiyo.

Kasome haiba/hulka 4 za watu
 
Kama ambavyo umelishwa Limbwata na Dj Mbowe,umetulia tulii !, chochote afanyacho kwako sawa tu,anakugeuza anavyotaka
Mkuu, Mkuu? Hutapungukiwa na kitu ukitumia lugha yenye staha. Kama Bw Yule anvyodhalilisha taasisi nyeti vivyo na wewe unavyodhalilisha JF? Shambulia hoja kwa hoja na sio kwa matusi.
 
Tatizo mlizoea kubembelezwa na kudeka kwa kauri za JK,mpaka mkamuita dhaifu.
Sasa tulieni,JK aliwaambia wakati anaondoka ya kua mtamkumbuka,mlijua ni mzaha.

Sasa mnalialia hovyo,huyu hakopeshi,najua ukweli ni mchungu lakini lazima usemwe tu,
Ukweli usio na tija unasaidia nn sasa,kinachotakiwa ni tija.
 
Lashada usifiwe sana. Bahati mbaya wtz hawawezi kubishana kwa hoja.
Kwa nini mtu asitoe justification kuhusu matendo anayofanya rais badala ya kukurupuka na kutukana mleta mada?
Mbowe anahusikaje hapa.
Nani aliyelalamika?
Kumsaidia mkuu kwa mawazo mazuri ni vibaya? Tunaaibika wote kama watanzania kwa majibu anayotoa na jinsi anavyoongoza nchi!
 
Kama umewahi kuishi na jamii ya kisukuma huwezi mshanga mkuu, msukuma anapenda sifa balaa yupo radhi kuuza ng'ombe ili akamhonge mwanamke lakini familia ilale njaa

Haa haa haa:D:D:D haa haa...

Kumbe unawajua hawa watu wa jamii hii !!

Lakini huyu kiasili inasemekana ni Mhutu aliyekulia Tanzania huko usukumani na kubeba tabia za kisukusu....

Paskali Mayalla anaweza kukudavulia vizuri zaidi hili
 
Salamu wana JF.

Kuna mambo yanaendelea na sasa yamekuwa ni tabia kwa mkuu wetu wa nchi, kwa maoni yangu, Rais JPM amejijengea tabia ambazo kwangu mimi naona hazikupaswa kufanywa na kiongozi mkuu wa nchi kama yeye.

Rais ni kiongozi mkuu wa nchi ambaye nadhani hapaswi kuonesha chuki hadharani dhidi ya jambo fulani, anapaswa kutumia lugha za kuiongozi hata kama amekerwa na jambo na sio kuonesha ghadhabu. Kuonesha tabia za kukasirika kasirika kila wakati kwa kiongozi wa juu kunapunguza ladha ya hadhi ya kiti cha uraisi.

Rais ni kiongozi mkuu wa nchi ambaye hapaswi kuwa mwepesi wa kutoa matamko kwa mambo mepesi na kuegemea upande hasa inapoonekana upande huo unavunja sheria za wazi zilizowekwa katika kuongoza mambo yetu.

Rais ni kiongozi mkuu wa nchi ambaye hapaswi kutoa lugha tata zinazoibua maswali na minunguniko, anapaswa kutoa kauli ya kujibu kero za wananchi na kauli hizo ziegemee uhalisia wa jambo na haki na kushughulikia kero ambazo majibu yake hayakwazani na sheria na maamuzi ambayo huko nyuma yalishafanyika kwa misingi ya haki ( to be a problem handler).

Rais ni kiongozi mkuu wa nchi ambaye hapaswi kuchochea ukinzani bali anapaswa kuwa tumaini pale kunapoibuka sintofahamu kwenye jamii na kwenye nchi

KWA NINI NIMESEMA HIVYO ?

Kwa maoni yangu rais JPM hafanyi vizuri katika maeneo yote hayo, Mara nyingi kunaibuka sintofahamu kwenye jamii juu ya jambo fulani, lakini mara tu atowapo neno basi sintofahamu na minunguniko inazidi mifano ya karibuni ni .

Uzalendo wa makinikia
Hali ngumu ya maisha na kauli za wapiga dili.
Kukosekana mshikamano na umoja na kauli za mimi sipangiwi. N. k.

Maeneo hayo na mengine Rais alitakiwa kuja na kauli ya kuwavuta watanzania wote( Impresive language) na sio kuanza kubeza na kutoa kauli za kuwagawa watu hasa kwenye ajenda ambazo zina maslahi ya Taifa. Hiki kinachoendelea sasa ni matokeo ya kukosekana weledi katika maeneo hayo na sasa jamii inamuona rais wetu kama mtu aliyekosa mwelekeo kumbe ni kukosekana vitu fulani fulani tu.

LAWAMA KWA WASAIDIZI.

Sijui kuna nini lakini inaonekana hawa wasaidizi wa Mh Rais bado hawajafanya kazi yao. Kwa nini makosa haya yanajirejea rejea kila wakati? Kwani huko nyuma ilikuwaje kwa hao marais waliopita ? Hatukutegemea kuteleza kwa kauli zaidi ya mara moja vyenginevyo itakuwa kuna tatizo mahali. Mimi nawalaumu hawa wasaidizi na kama kuna tatizo binafsi kwa JPM jambo ambalo mimi silikubali kwamba eti alivyo ndio lazima tuwe watanzania wote si kweli. Unapoongozwa na mfumo inabidi wewe ndio ufuate mfumo ulivyo. Hii taasisi mfumo wake siku zote haukubali kwenda shaghala baghala na kutoa mikauli ya mijadala na minunguniko si kweli .

Kwa nini hao wasaidizi wasijiuzulu kama JPM ana tatizo binafsi, ikiwa ni hivyo basi hao wasaidizi ndio wabinafsi.

Tabia ya mtu haipaswi kuwa mwenendo wa taifa na ndio maana tukawa na KATIBA, SHERIA, BUNGE na MAHAKAMA.

Tukisikiliza maoni tunaweza tukabadilika, kukataa mawazo ya wengine si mwarubaini wa kukubalika

Mungu ibariki Tanzania.

Kishada
"Hutu alifaa zaidi kuwa nyapara wa Barbara"
 
Back
Top Bottom