Lizzy, utamaduni, mila, desturi naustaarabu (kama unavyotaka kuwaza wewe) havipimwi kwa mtazamo wa mtu mmoja amakabila ama taifa moja tu. Kwa mfano, mimi sikubaliani na dhana kwamba ili mtuawe amestaarabika ni lazima afanye mambo kama mzungu. Ni vyema ujue kwambamataifa na makabila...