Bungeni: Halima Mdee aambiwa anacheza 'mbwa kachoka'

Bungeni: Halima Mdee aambiwa anacheza 'mbwa kachoka'

Tafsiri isiyo rasmi:-MBWA KACHOKA NI DOGGY STYLE,NI MISEMO YA KWENYE LUV MAKING NI SAWA ANGESEMA ANACHEZA KIFO CHA MENDE au Anacheza MBUZI KAGOMA...NI MATUSI MAKUBWA SANA MH.J.MANYERERE
 
..hon.Mdee alipoomba mwongozo amejibiwaje?....

Yule Mbunge alipoona Halima anaomba muongozo akaomba haraka kufuta kauli lakini Spika akamwambia mbunge wa CCM aendelee. Hivi 'mbwa kachoka' maana yake nini?
 
Jeri silaa aliwaambia yeye kapewa ujumbe wa CC kutokana na kuitukana CHADEMA akasema wasije shangaa akawa waziri mkuu.akatoa wito wanaotaka cheo wafuate nyao zake.
 
Tatizo la wabunge wetu wamesahau jukumu lao nchi inamatatizo mengi yakutafuta Njia ya kutatua wanapoteza muda kwa mipasho the nation of illiteracy
 
Miami
Nakiri Manyerere Jackton ana njaa, sio peke yake anayeongozwa na tumbo kwanza kichwa ndio kinafuata. Wapo wengi humu hata Pasco anajua. Lakini nikukumbushe kuwa kwa level ya uzoefu, ujuzi, uweledi wa mambo, hufikii hata robo ya robo ya uwezo alionao Manyerere. So uwe na adabu mdogo wangu
Mkuu Mzito K, hata makamanda nao they have to eat to survive, hivyo unapofika muda wa kula, asipopata chakula lazima atasikia njaa!, hivyo njaa ni jambo la kawaida kwa kila binadamu!.

Ila pia mimi Pasco wa jf, ni mtetezi mkubwa kabisa wa zile bahasha zetu halali za uwezeshaji!, unafikiri mwandishi unawezaje kufika popote?!. Juzi JK katoka Uholanzi, aliandamana na kundi kubwa la media, jamaa watakuwa wamevutishwa bahasha ndefu, nene ya uwezeshaji kuwawezesha kukwaa pipa na kula na kulala mahali stahiki panapo fanania!.
Nenda kamanda nenda!. Go comrade go!.
Pasco
 
Haya matusi spika ameyanyamizia hili iweje? Kwanini tusiseme spika hana msimamo? Kwanini huyu mama akutolewa nje kama alivyo ahidi?

Tafsiri isiyo rasmi:-MBWA KACHOKA NI DOGGY STYLE,NI MISEMO YA KWENYE LUV MAKING NI SAWA ANGESEMA ANACHEZA KIFO CHA MENDE au Anacheza MBUZI KAGOMA...NI MATUSI MAKUBWA SANA MH.J.MANYERERE
 
Hivi vyeo vya kupeana ni tatizo sugu....Mkiangalia huyu Spika alipewa hiki cheo...hajui kitu kuhusu suala la kuongoza Bunge,..ni mbabaishaji na tena kuna watu ambao sijui niwaweke kundi la wendawazimu ama wachumia tumbo kama Chemba la Mavi hao ni bure kabisa,,,,
 
Mbunge wa Viti Maalumu, Tawhida (CCM) anachangia sasa, anasema Halima Mdee anacheza "mbwa kachoka". Wataalamu wa lugha tusaidieni. NI mwendelezo wa matusi bungeni kutoka chama tawala.


Manyerere, Tawhida ni mwanaume au mwanamke?
 
Prince Hope nimesha wauliza wote wano sema hakutamka hayo maneno waseme maneno yaliyo tamkwa si kupinga tuu!

Naomba waseme maneno gani aliongea huyo mama kinyume na hayo?

Alianza vizuri kwa kuisifu speech yake. Ofcourse Mdee ali deserve, she was confident to what she was saying. Sasa sijui Lukuvi alimkata jicho jicho yule fan wa magamba, akatema ----- gafla!
 
Yule mama alikuwa anaongea mipasho tu,ikabidi mh mdee aombe mwongozo wa spika.sasa wanaopinga mlikuwa mnaangalia bunge la zanzibar au iramba magharibi.
 
Nimesha waomba waseme hapa nini kilizungumzwa na huyo mama kinyume na yaliyo sema na manyerere lakini wako kimya!

Cc Sordo BUNGE Wingu!

Yule mama alikuwa anaongea mipasho tu,ikabidi mh mdee aombe mwongozo wa spika.sasa wanaopinga mlikuwa mnaangalia bunge la zanzibar au iramba magharibi.
 
Last edited by a moderator:
Mbunge wa Viti Maalumu, Tawhida (CCM) anachangia sasa, anasema Halima Mdee anacheza "mbwa kachoka". Wataalamu wa lugha tusaidieni. NI mwendelezo wa matusi bungeni kutoka chama tawala.
Dear Manyerere the ruling party and almost all its adherents, generals and lieutenants have absolutely gone politically and morrally bankrupt. They are now operating and acting like a scared cat. They can't counteract argument so whenever they are asked even a simple question, they go nutts erupting like volcano of Oldoinyo le Enkai! You know that's how it is for a scared cat if you scare a cat and putting it in a corner where it can't get out it will turn you into the exit. That is how the CCM people are acting. So yes it is a continuation of insults and you don't need language experts or linguists to interpret that at all. Itoshe kusema wajamaa hawa wamefilisika basi.
 
Haitatokea wabunge wa ccm waseme wabunge wa cdm wanafanya kazi. namimi nafurahi wanavyosema hivyo maana wananchi si tunaujua ukweli:bounce:
 
Back
Top Bottom