Kipanya leo!!

Kipanya leo!!

Inashangaza kweli kuona watu wana mawazo ya kipumbavu.Zanzibar hakuna mtu asiejua anachokifanya, wala hakuna mtu atakae juta kwa kuvunjika muungano.

Kuna kila ushahidi unaonesha kuwa muungano ndio sababu kuu ya kudhoofika Zanzibar kiuchumi.Kila mwenye akili angelianza kwanza kutazama ni wakati gani Zanzibar imezorota kiuchumi.

Anyways, ukibishana na vilaza ...nawe utakolea ulaza :sleepy:
 
Kuna kila ushahidi unaonesha kuwa muungano ndio sababu kuu ya kudhoofika Zanzibar kiuchumi.Kila mwenye akili angelianza kwanza kutazama ni wakati gani Zanzibr imezorota kiuchumi.
Anyways, ukibishana na vilaza ...nawe utakolea ulaza :sleepy:

Ngoja kwanza nikukumbushe wewe ni nani kwa kutumia rekodi yako.

MrFroasty
: JF Senior Expert Member
avatar16866_3.gif

Join Date :
23rd June 2009

Posts :
504

Rep Power :
553

<dt style="margin: 0px 5px 0px 0px; padding: 0px; float: left; color: rgb(42, 52, 59); font-family: Verdana, Geneva, sans-serif; font-size: 12px; font-weight: bold; line-height: 14px; text-align: left; white-space: nowrap; background-color: rgb(242, 246, 248); ">Likes Received</dt><dd style="margin: 0px; padding: 0px; color: rgb(42, 52, 59); font-family: Verdana, Geneva, sans-serif; font-size: 12px; font-weight: bold; line-height: 14px; text-align: left; white-space: nowrap; background-color: rgb(242, 246, 248); ">8 (Sababu ya pumba)
<dt style="margin: 0px 5px 0px 0px; padding: 0px; float: left; ">Likes Given</dt>: 0 (Sababu ya chuki)

Duh! Mzenji naye anaita watu vilaza! Kweli duniani kuna mambo!
</dd>
 
Inashangaza kweli kuona watu wana mawazo ya kipumbavu.Zanzibar hakuna mtu asiejua anachokifanya, wala hakuna mtu atakae juta kwa kuvunjika muungano.

Kuna kila ushahidi unaonesha kuwa muungano ndio sababu kuu ya kudhoofika Zanzibar kiuchumi.Kila mwenye akili angelianza kwanza kutazama ni wakati gani Zanzibar imezorota kiuchumi.

Anyways, ukibishana na vilaza ...nawe utakolea ulaza :sleepy:

Hivi unakumbuka Rais wenu wa kwanza aliuawa akiwa anafanya shughuli gani?...alikua anacheza bao na pembeni akiwa na bakuli la urojo.
 
Ni nani aliyemkabidhi shoka huyo jamaa hilo ndilo swali la kujiuliza
 
Kuna kila ushahidi unaonesha kuwa muungano ndio sababu kuu ya kudhoofika Zanzibar kiuchumi.Kila mwenye akili angelianza kwanza kutazama ni wakati gani Zanzibar imezorota kiuchumi.

Hebu jifunze historia yako vizuri wewe, Zanzibar iliimarika kiuchumi kwasbabu ya biashara ya utumwa (Sultan Sayyid said, Barghash) na baadae karafuu. Vyote hivyo havipo kwa sasa kwahiyo uchumi wake tegemezi ungedhoofika tuu labda kama kungekuwa na vyanzo vigine vya uchumi.
 
mtoto akililia wembe mwache umkate. hakuna sababu ya kuendelea kuwabembeleza.
ila upande wa vurugu za juzi mi nina mtazamo mwingine ukilitazama kwa haraka jambo hili utaona waisilamu wamefanya fujo kubwa sana lakini hebu tujiulize fujo ilitokana na nini hasa?
mimi naona fojo yote imeanzishwa na polisi wetu tumejionea kure rufiji vita ya wakulima na wafugaji polisi ndio walikuwa perol katika sakata hilo. twende Arusha maandamano yalikuwa ya amani lakini polisi walipoingilia kwa nguvu vurugu zikatokea
tumshajionea maandamano yasipoingiliwa na polisi mbona huwa yanaisha kwa amani tu. masalani mkutano wa CDM jumamosi kama polisi wangeamua kuingilia na kupinga maandamano ya watu kwenda mkutanoni nahisi ingetokea fujo ambayo ni vigumu kuitathimini na polisi wangesema CDM wamefanya fujo.lakini mambo yamekwenda salama bila fujo yeyote

tukirudi kure Zenji waisilamu walikuwa na swala zao kama kawaida baadae wakaamua kuandamana wakajue kulikoni viongozi wao kwanini wameshikiliwa na jeshi la polisi. Hivi pangetokea kiongozi wa polisi akawasikiliza na kuwafafanulia kilicho tokea fujo hizo zisingetokea na makanisa yasingechomwa.
lakini kama kawaida ya jeshi letu liliamua kuzima maadamano hayo kwa nguvu zote na matokeo yake wote tunayajua na sasa wanalaumiwa waisilamu!!!!
 
Kwa hiyo unahalalisha kuchomwa kwa makanisa, au? Wenye akili timamu wanajiuliza: kwa nini wachokozwe na polisi afu WACHOME MOTO MAKANISA??????????? Kwa nini hamjibu swali hili? Huko Arusha na Rufiji unakotaja wananchi walipochokozwa na polisi kwa nini hawakuchoma makanisa? Au wenzetu huko zenji polisi wana kaa makanisani? Kama huna hoja usijidhalilishe!
 
Mkuu hawa ni NYEGE ZA KIGAIDI tu ndo zinawasumbua, hakuna lingine. Siunajua ile mistari ya kilusuferi inavyowahasisha? Kwanza hilo limuungano sisi wenyewe ndo limeshatuchosha mwisho na tunatengeneza mkakati wa kuyaacha malusiferi yashike njia yao ya motoni. Tofauti yetu na yao ni approach katika kulikata hilo tawi. Na tunajua siku litakapokatika mtageuka afadhali ya Somalia, kudadadake zenu! Na tutafunga mipaka ngangari hakuna mbwa au nguruwe pori kuingia kwetu afu tuone, ***ko zenu!
 
Nimesahau kusema "Mpumbavu hashauriki" wala hafundishiki bali kwa vitendo akiwa amechelewa. Majuto mjukuu. Hawajui hawa?
 
Kwa hiyo unahalalisha kuchomwa kwa makanisa, au? Wenye akili timamu wanajiuliza: kwa nini wachokozwe na polisi afu WACHOME MOTO MAKANISA??????????? Kwa nini hamjibu swali hili? Huko Arusha na Rufiji unakotaja wananchi walipochokozwa na polisi kwa nini hawakuchoma makanisa? Au wenzetu huko zenji polisi wana kaa makanisani? Kama huna hoja usijidhalilishe!
ndo hapo naposhindwa kuwaelewa makanisa yana uhusiano gani na muungano, ni kwamba wanatuchokoza tu wakristu na wametukuta watu wenyewe hatuna muda wa majibizano nao sisi tunawaza maendeleo tu........wapi tukajenge mashule, hospital etc
 
Hivi unakumbuka Rais wenu wa kwanza aliuawa akiwa anafanya shughuli gani?...alikua anacheza bao na pembeni akiwa na bakuli la urojo.
ndo wanachokiweza kufanya kazi hawataki hafu wanataka maendeleo.
 
Cha ajabu watanganyika ndio wanasema zenji haiko salama, kwani wanaugomvi na nani?

Msilete fikira za mwenyekiti, za kuwaambia kesho kunavita urusi kumbe kaona ktk tv.

Mbona komoro ipo peke yake na ni ndogo kuloko zanzibar?.

Acheni fikra mgando za kuwatishia nyau wa zanzibar,wakitengana na sisi wataendelea sana kuliko sisi wendawazimu wa tz bara wenye kudanganywa na babu wa loliondo kwa msaada wa maaskofu waliotuambia jk ni chaguo la mungu alafu baada ya miaka 5 mungu akageuka na kusema jk ni fisadi, baada ya miaka 5 akamuotesha babu mwenye dawa ya ukimwi feki.

Akilizenu zipo pale pakutolea haja kubwa.
 
Ee Mola tusaidie TUWEZE Kuifikia ile nchi yetu ya ahadi, TANGANYIKA. Dalili zaonesha tumekwisha ikaribia sana.
 
Back
Top Bottom