Recent content by Okuberwa

  1. Okuberwa

    JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Mwl Nyerere
  2. Okuberwa

    Wale Wa Zamani Kidogo, Je Mnakumbuka Haya Mavitus?

    Pole Kongosho, usilie basi, nitakununulia bazooka!
  3. Okuberwa

    Wale Wa Zamani Kidogo, Je Mnakumbuka Haya Mavitus?

    Mmmh,jamani!Nimekumbuka radio mbao (dudu proof) ya mdingi wangu.
  4. Okuberwa

    Kikwete: Waliochochea ukabila ndio wanachochea udini leo...

    Weye unadhani yule Nabii Issa Bin Mariamu wa Qu'ran na yule Yesu Kristo wa Biblia ni sawa au wanabeba uzito sawa ktk misahafu yote miwili?
  5. Okuberwa

    umewai sikia hii kitu???? ATM GOLD MACHINE DUBAI..

    Hapana sikia hii kitu! Hii kali!
  6. Okuberwa

    What Are Your Ideas, Dreams, Plans & Resolutions For 2013?

    Hongera! Binafsi nategemea kuacha kunywa pombe!
  7. Okuberwa

    "Natamani Mpenzi wangu asafiri"

    Wonders will never cease!
  8. Okuberwa

    Zanzibar: Padre apigwa Risasi na watu wasiojulikana

    Wacha kukurupuka kijana; ukisema "uenda wamedhulumiana", ina maana huna uhakika na unachoongea. Tafakari kabla ya kutoa comments.
  9. Okuberwa

    wahaya mjifunze kiswahili fasaha

    Hakuna neno kama hilo (red hapo juu) ktk maneno ya Kihaya! Kuna maneno na sentensi kama hizi: Nimeshiba bila kula = Nansiiba ntalile. Natafuta asali mbisi = Natafuta asali mbichi. Konda, konda mimi nateremkia hapo machoni = konda, konda waitu ninshukila aho umumaisho. nimeshiba =...
  10. Okuberwa

    Mchumba wangu mchawi

    Kama unampenda basi kubali yote yatakayotokea baadae.
Back
Top Bottom