Huyu ndio Shehe, hao wengine akina Khalifa wanaitwa sheheni.Yaani wachumia tumbo.mambo wanayofanyiwa mashehe wa uamsho hayaoni anaenda kuongelea mambo ya MU ambayo yalitiwa saini wakati wa utawala wa muisilam jina.mpyxxuuuuu.hao mashehena tupa kule kura kwa Lowassa tu aende akaharishe kabisaa...
Ninakushauri ununue lg.watengeneza lg ndio hao waliokuwa wanawatengenezea Sony wamekorofishana miaka ya hivi karibuni na anguko la uchumi duniani ndio likapigilia msumari wa mwisho.ni hivi kama wewe uoke mikate umpelekee Bakhresa aweke logo yake akiuza we akupe stahiki yako lakini mkapishana...
Huo wimbo unaitwa Mganga No 2, umepigwa na Jamhuri Jazz Band toka Tanga.ni kiaa cha ukweli kilichomtokea muimbaji wa Jamhuri baada ya kupanda stejini na sauti kukauka hivyo basi akashindwa kuimba.Ukiskiliza huo wimbo utaskia mganga anamtibu huyo mgonjwa.
Kura yangu na wake zangu wawili tunampigia Lowassa mgombea ambae hajaona uzito kuongelea mashehe wa uamsho, hata kama hatatekeleza ahadi zake potelea mbali lakini kaonyesha kuthubutu na huyo shehe wa kuchumia tumbo apeleke tumbo lake lumumba mimi ni muislam na haniwakilishi na kura yangu ni...
Hii ya Lowassa na ile ya Lukuvi zote matamko yalitolewa wazungumzaji wakiwa makanisani, tofauti yake ni nini? Mwenye kumbukumbu naomba anifahamishe maana ile ya Lukuvi nayo ilileta mtafaruku kwa ndugu zetu wa upande wa pili.
Nb:naomba kusahihishwa kama nimekosea.
Tatizo ni vijana wa dotcom, ukweli ni kwamba wengi wa vijana wa zamani wanajiheshimu saana na kumuogopa mungu na wengi hawapendi zinaa kutokana na malezi ya makuzi yao.lakini kinyume na hivyo ndoa nyingi za vijana wa sasa zisingekua salama.vijana wa zamani bado wananguvu za kuweza kumtosheleza...
Mzee wa miaka 62 kavunja ndoa ya mtu!huyo alievunjiwa ndoa yake ana umri gani? Na huyo mke aliemfuata huyo mzee nae umri wake ni upi? Au ndio haya mambo ya waume wa cku hizi ambayo akina dada wanalalamika kila cku! Vijana mabarobaro mbona mnatia aibu hivi! Mzee wa miaka 62 akuvunjie ndoa yako...
love is a beautiful boo I'm not opposed to moment not win the lotto with a bullet unicorn. I meant about you're not be setting up the job I will bring anything
Kama tatizo ni hizo karatasi utajuaje? Karatasi zinakuja zimeshatiwa tiki kwa mgombea wanaemtaka lakini wakati unatia tiki yako hautaiona hio tiki yao, tiki yao itajionyesha wakati tiki yako inafutika,.mimi ninadhani hizo karatasi ndio zenye usanii kuliko hizo kalamu.ukienda na kalamu yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.