ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao | Page 24 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

Discussion in 'Entertainment' started by Balantanda, Jun 12, 2011.

 1. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Salama wakuu?,ni jumapili nyingine tulivu....

  Leo naomba tujikumbushe bendi zetu zilizotamba sana miaka ya 80 na 90,bendi ambazo ama zimekufa ama zinaendelea kusuasua na ambazo ukisikiliza muziki wake leo hii unatamani ungerudisha wakati nyuma.......

  Kwa kuanzia tuanze na hawa Orchestra Vijana Jazz,bendi ambayo ilikuwa ikimilikiwa na Umoja wa vijana wa CCM,bendi hii ilikuwa ikitumia mitindo ya Sindimba,Hekaheka,Heka koka,Watoto wa nyumbani,Air Pambamoto(awamu ya kwanza na ya pili) na baadae mtindo wa Saga Rhumba.....

  Kwangu mimi bendi hii ndiyo ilikuwa chaguo langu hasa......Ukitaka kuujua ukali wa bendi hii sikiliza nyimbo kama Chiku,Mary Maria,Penzi lamea penye penzi,Shemeji,Bujumbura,Ilikuwa lifti,Tambiko la Pambamoto,Adza(Aza),Ngapulila,Ogopa Tapeli,Mwisho wa Mwezi,Penzi haligawanyiki,Wivu,Malaine,Nyongise,Shoga,Theresa,V.I.P,Mama Chichi na nyingine nyingi tu tamu....

  Bendi hii imewahi kuundwa na wanamuziki kama Hemed Maneti 'Chiriku',Hamza Kalala 'Komando',Manitu Mussa,Issa Chikupele,Hassan Dalali,Hassan Shaw,Ally Jamwaka,Abuu Semhando,Bakari 'Baker' Semhando,Mhina Panduka 'Toto Tundu',Adam Bakari 'Sauti ya zege',Eddy Sheggy,Shaban Yohana 'Wanted',Rashid Pembe 'Profesa',Kida Waziri,Beno Villa Anthony,Rahma Shally,Jerry Nashon 'Dudumizi',Suleiman Mbwembwe,Shaban Dogodogo,Aggrey Ndumbalo,John Kitime,Abdallah Mgonahazelu,Freddy Benjamin,Mohammed Gotagota,Said Hamis 'Misukosuko',Athumani Momba na wengine kibao...
   
 2. KUKU-DUME

  KUKU-DUME JF-Expert Member

  #461
  Apr 12, 2016
  Joined: Sep 3, 2013
  Messages: 469
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  mwenye wimbo wa BOBU LUDALA #JULII##naomba
   
 3. Diplomatic Imunnity

  Diplomatic Imunnity JF-Expert Member

  #462
  Apr 12, 2016
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,207
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Ikwahn safii
   
 4. Mumba Daly

  Mumba Daly JF-Expert Member

  #463
  Apr 15, 2016
  Joined: Jun 13, 2014
  Messages: 2,136
  Likes Received: 1,250
  Trophy Points: 280
  Pata burudani kidogo
   

  Attached Files:

 5. G'taxi

  G'taxi JF-Expert Member

  #464
  Apr 17, 2016
  Joined: Sep 15, 2013
  Messages: 3,018
  Likes Received: 2,438
  Trophy Points: 280
  Jamani please mwenye wimbo wa Kindekunde wa Victoria Eleyson enzi za miaka 1993
   
 6. Petronfrancis

  Petronfrancis JF-Expert Member

  #465
  Apr 17, 2016
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 288
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Nakupa mda sio mrefu
   
 7. G'taxi

  G'taxi JF-Expert Member

  #466
  Apr 17, 2016
  Joined: Sep 15, 2013
  Messages: 3,018
  Likes Received: 2,438
  Trophy Points: 280
  Aminia mwanangu!
   
 8. Petronfrancis

  Petronfrancis JF-Expert Member

  #467
  Apr 17, 2016
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 288
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Mtandao unasumbua jf app. inashindwa kutuma file ila usihofu itakuja
   
 9. G'taxi

  G'taxi JF-Expert Member

  #468
  Apr 17, 2016
  Joined: Sep 15, 2013
  Messages: 3,018
  Likes Received: 2,438
  Trophy Points: 280
  Naku PM namba yangu unitumie whatsap bingwa
   
 10. rubaman

  rubaman JF-Expert Member

  #469
  Apr 22, 2016
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 4,543
  Likes Received: 837
  Trophy Points: 280
  Natafuta wimbo wa Francesca ulioimbwa na Tshimanga assossa akiwa na legho stars in 1990s
   
 11. M

  MMOJA JF-Expert Member

  #470
  Apr 22, 2016
  Joined: Aug 30, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  "unavyojitia kununa nuna bila sababu tutaja achana bure, nikuulizapo jambo huja juu, huja juu kipenzi changuu" huu wimbo ipo sauti ya gurumo,bichuka,. Hivi huu wimbo unaitwaje? na ulipigwa band gani? na mtunzi ni nani? pia mwenye audio yake anisaidie!
   
 12. Mumba Daly

  Mumba Daly JF-Expert Member

  #471
  Apr 22, 2016
  Joined: Jun 13, 2014
  Messages: 2,136
  Likes Received: 1,250
  Trophy Points: 280
  Hiyo
   

  Attached Files:

 13. rubaman

  rubaman JF-Expert Member

  #472
  Apr 23, 2016
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 4,543
  Likes Received: 837
  Trophy Points: 280
  Hahaha Ahsante sana mkuu. Umenirudisha primary natoka class saa saba ugali wanisubiri.... Youtube haupatikani sijui ni kwa nini?
   
 14. KUKU-DUME

  KUKU-DUME JF-Expert Member

  #473
  Apr 30, 2016
  Joined: Sep 3, 2013
  Messages: 469
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  kaka natafuta wimbo wa bobu ludala "julli"
   
 15. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #474
  May 21, 2016
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Super Kamanyola band...Mukumbule Lulembo Parash...Benno Villa Anthony...

  Wiki iliyopita nilikuwa Mwanza...Hawa jamaa wanaweza kukuliza ukiwasikiliza live....Hawakosei
   
 16. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #475
  May 22, 2016
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
 17. h

  hapakazit JF-Expert Member

  #476
  May 22, 2016
  Joined: Dec 8, 2015
  Messages: 695
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 80
  Julie mm ninayo nakupaje sasa
   
 18. wambura marwa

  wambura marwa JF-Expert Member

  #477
  May 22, 2016
  Joined: Mar 7, 2015
  Messages: 2,187
  Likes Received: 1,097
  Trophy Points: 280
  Kuna wimbo Sijui jinale Ila kuna mistari ipo naikumbuka kama hii "ona Sasa wivu wako nilikubembeleza, usiku mzima ubadili uamuzi wako nilijua waliokudanganya wako wapi, wamekuacha hunapakuanzia
  Kama utakuwa unaupata huu wimbo nimvuzishia jina lake
   
 19. h

  hapakazit JF-Expert Member

  #478
  May 22, 2016
  Joined: Dec 8, 2015
  Messages: 695
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 80
  Ujaju
   
 20. wambura marwa

  wambura marwa JF-Expert Member

  #479
  May 22, 2016
  Joined: Mar 7, 2015
  Messages: 2,187
  Likes Received: 1,097
  Trophy Points: 280
  Poa bendi gani mkuu
   
 21. h

  hapakazit JF-Expert Member

  #480
  May 22, 2016
  Joined: Dec 8, 2015
  Messages: 695
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 80
  Cna uhakika yaweza kuwa juwatta
   
Loading...