Recent content by Official_Seifu

  1. Official_Seifu

    Siri imefichuka kumbe Transit Camp waliombwa wafungwe Goli nyingi jana ili 'Kushawishi' Mashabiki wajae 'Watu Day' tarehe 6 August, 2022!!!

    mbona maelezo bila Ushahidi , utalazimisha tukuamini ? Weka Evidence sio Porojo
  2. Official_Seifu

    Kwa tunaofahamu, tuzo ya Sakho ni ya kimkakati

    "Yanga Wengi Hamnzo" haji Manara
  3. Official_Seifu

    Maisha kwenye Mitandao ya Kijamii yapo tofauti sana

    Maisha Kwenye Mitandao Ya Kijamii yapo Tofauti sana, Watu Wengi Wanaotumia Mitandao ya kijamii hupenda zaidi kuonyesha maisha yao kwenye mitandao kuwa wanaishi Vizuri na Unapowaona unaweza kudhani hawana Shida kabisa. Lakini Ukweli ni Kwamba Wakabiriwa na Shida nyingi, japo wapo wachache wenye...
  4. Official_Seifu

    Zingatia haya kabla ya kuanzisha biashara mtandaoni

    Watu wengi sana wana anzisha Biashara Mtandaoni, Wapo wanaofata Kanuni zake, na ndio maana wanafanikiwa na wengine Hawafati na wala hawazijui. Kanuni Hizi ni kabla ya kuanzisha Biashara Mtandaoni, unatakiwa uzifahamu ili kufanikiwa katika Biashara yako. 1. Wazo La Biashara. Hapa Unatakiwa Uwe...
  5. Official_Seifu

    Stress za likes na comments

    Mitandaoni kila mtu anaingia na Lengo lake, Kuna Ambae anaingia Kwa Lengo la Burudani, Kuna Anaeungia kwa Lengo la Biashara na kutafuta Michongo. Ila makundi yote hayo ya wanaotumia Mitandao Ya kijamii wanataka Kupata Likes nyingi na comments za kutosha. Mtu anaenda Hadi Photoshoots Kupiga...
  6. Official_Seifu

    Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

    Katika Kauli Simba wa Yuda, nataka kujuwa kwa maana ya kwenu Wa kristo YUDA NI NANI ?
  7. Official_Seifu

    Unamhitaji mwenye hela?

    Una Sifa Za Kuwa Na Watu wenye Hela ? Ivi unajua kuwa Huyo Ulie nae kwa sasa, inawezekana ni kwa sababu Hana hela, na Siku akipata hela Anatafuta wa Level Nyingine. Jiweke Kwenye Level ya Kuwa na Mtu mwenye Hela, Vinginevyo, Ndege wenye manyoya yanayofanana Wataruka Pamoja. Utakuta Kidada...
Back
Top Bottom