Stress za likes na comments

Mar 11, 2022
14
15
Mitandaoni kila mtu anaingia na Lengo lake, Kuna Ambae anaingia Kwa Lengo la Burudani, Kuna Anaeungia kwa Lengo la Biashara na kutafuta Michongo.

Ila makundi yote hayo ya wanaotumia Mitandao Ya kijamii wanataka Kupata Likes nyingi na comments za kutosha.

Mtu anaenda Hadi Photoshoots Kupiga Picha Ya tsh 10000, ana pata Like 30.

Mitandao kwa sasa ni Kitu Chenye nguvu sana, Hasa kwenye Kutafuta Pesa, Na Masoko ya Biashara.

Kama unapata kuwa maarufu Basi uwezekano wa kuuaga umasikini ni Asilimia 99%.

Changamoto ni kuwa maarufu sasa.

Ukweli ni kwamba itakuchukua Muda na Gharama za Kutosha ili kupata Huo umaarufu.

Huwezi kuwa Maarufu Kwa kupost picha Za Uchi sababu hizo zipo nyingi Sana Mtandaoni.

Unatakiwa Ufanye kitu ambacho watu Watakulipa Baadae,.

Maana Ya Pesa ni Kufanya kitu Ambacho watu watakuwa Tayari kukulipa.

Inaweza kuwa Kuuza, Kufundisha, Kuelimisha, au Kuburudisha.

Ila yote hayo hayatokei kwa Kubahatisha, au kwa Wakati Mfupi.

MAFANIKIO NI MCHANGANYIKO WA MUDA, GHARAMA NA SUBIRA
 
Hapa in a minute utaukuta uzi wako chitchat tena unadumbukizwa ndani ya uzi wa member mwingine.

Utajua kuwa hujui ila maisha lazima yaendelee
 
Mitandaoni kila mtu anaingia na Lengo lake, Kuna Ambae anaingia Kwa Lengo la Burudani, Kuna Anaeungia kwa Lengo la Biashara na kutafuta Michongo.

Ila makundi yote hayo ya wanaotumia Mitandao Ya kijamii wanataka Kupata Likes nyingi na comments za kutosha.
Sass hivi stress zimehamia mitandaoni.Mtu anapost content alafu haichangiwi wa la kupata like basi anahisi km dunia imempiga teke
Mtu anaenda Hadi Photoshoots Kupiga Picha Ya tsh 10000, ana pata Like 30.

Mitandao kwa sasa ni Kitu Chenye nguvu sana, Hasa kwenye Kutafuta Pesa, Na Masoko ya Biashara.
Duh🤔..kwamba ukiwa maarufu ndy unakuwa na possibility ya kuuga umasikini Kwa hizo % ? Who told u that ankoli? Kuna masikini kibao maarufu tunaishi nao mitaani
Kama unapata kuwa maarufu Basi uwezekano wa kuuaga umasikini ni Asilimia 99%.

Changamoto ni kuwa maarufu sasa.

Ukweli ni kwamba itakuchukua Muda na Gharama za Kutosha ili kupata Huo umaarufu.

Huwezi kuwa Maarufu Kwa kupost picha Za Uchi sababu hizo zipo nyingi Sana Mtandaoni.

Unatakiwa Ufanye kitu ambacho watu Watakulipa Baadae,.

Maana Ya Pesa ni Kufanya kitu Ambacho watu watakuwa Tayari kukulipa.

Inaweza kuwa Kuuza, Kufundisha, Kuelimisha, au Kuburudisha.

Ila yote hayo hayatokei kwa Kubahatisha, au kwa Wakati Mfupi.

MAFANIKIO NI MCHANGANYIKO WA MUDA, GHARAMA NA SUBIRA
 
Ukitaka kuupima ukichaa wa mwenza wako angalia WhatsApp status zake.

Ndukiiii
 
Mitandaoni kila mtu anaingia na Lengo lake, Kuna Ambae anaingia Kwa Lengo la Burudani, Kuna Anaeungia kwa Lengo la Biashara na kutafuta Michongo.

Ila makundi yote hayo ya wanaotumia Mitandao Ya kijamii wanataka Kupata Likes nyingi na comments za kutosha.

Mtu anaenda Hadi Photoshoots Kupiga Picha Ya tsh 10000, ana pata Like 30.

Mitandao kwa sasa ni Kitu Chenye nguvu sana, Hasa kwenye Kutafuta Pesa, Na Masoko ya Biashara.

Kama unapata kuwa maarufu Basi uwezekano wa kuuaga umasikini ni Asilimia 99%.

Changamoto ni kuwa maarufu sasa.

Ukweli ni kwamba itakuchukua Muda na Gharama za Kutosha ili kupata Huo umaarufu.

Huwezi kuwa Maarufu Kwa kupost picha Za Uchi sababu hizo zipo nyingi Sana Mtandaoni.

Unatakiwa Ufanye kitu ambacho watu Watakulipa Baadae,.

Maana Ya Pesa ni Kufanya kitu Ambacho watu watakuwa Tayari kukulipa.

Inaweza kuwa Kuuza, Kufundisha, Kuelimisha, au Kuburudisha.

Ila yote hayo hayatokei kwa Kubahatisha, au kwa Wakati Mfupi.

MAFANIKIO NI MCHANGANYIKO WA MUDA, GHARAMA NA SUBIRA
Sawa nimekupa like yako
 
Back
Top Bottom