Recent content by odinyo

  1. odinyo

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya: Fastjet inaweza kufilisika mwezi huu...

    Cheupe fafanua.
  2. odinyo

    JamiiForums Tanzania DAR: Walimu shule ya msingi Hazina mbaroni kwa kuwapa wanafunzi darasa la saba mitihani

    nimeongea na mzazi mmoja mwenye mtt pale Hazina, anachoshangaa na kujiulizaa mbn wanajitahid sana kufundisha watt wao? sasa kwa nn na sasa wanaiba mitihani kwa lipi hasa? ameniahidi hiyo tar 10/10 atafika mahakamani kujua ushahid wa serikali maana ni habari zilizomchanganya sana. ila anamwomba...
  3. odinyo

    JamiiForums Tanzania Kenya watatuacha zaidi. Tanzania hatuna plan

    kama ww si mkenya basi ni mpinzani usiye jitambua
  4. odinyo

    JamiiForums Tanzania Catalan independence today; A lesson to Zanzibaris

    Pandikizi
  5. odinyo

    JamiiForums Tanzania Hitilafu Gridi ya Taifa: Waziri Kalemani aamuru Meneja Uendeshaji wa Kidatu kuondolewa kazini kwa uzembe

    kwann naibu mkurugenzi ndio amwondoe na asiondolewe na mkurugenzi mkuu? kinachosumbua TANESCO NI VYEO VINGI kwa msingi wa kazi ileile. wangepunguza mlolongo wa kutoa au kupeleka taarifa maaana unakua urasimu na mwanya wa rushwa na ucheleweshaji wa mambo kwenda kwa haraka. ingelikua ni mwendo wa...
  6. odinyo

    JamiiForums Tanzania Gazeti Uhuru waandika Sumsung badala ya Samsung

    sidhan kama ni issue sana, ili mradi umeelewa
  7. odinyo

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi zaidi ya mia wapunguzwa cocacola kwanza limited

    si habari njema kuingia masikioni, Mungu wabariki Cocacoala Tz na sisi sote
  8. odinyo

    JamiiForums Tanzania Kero: George Marato wa ITV

    channel ten waandish wake au mhariri mkuu nadhani upeo wake ndipo umeishia hapo. maana haibadiliki na kwenda na wakati. 1. taarifa ya habari ipo muda mzuri saa 1 usiku lkn wanaivuta mpk saa 2 usiku, suppose 30mins 2. kipindi cha asubuhi kinaanza saa 12 asub mpk siku nyingine 12.45. suppose...
  9. odinyo

    JamiiForums Tanzania Azam Tv mihemko itawapeleka shimoni

    hata mchambuzi wa masuala fulani flani wawe(AZAM TV) wanachagua mtu neutral, ndio atakayesema ukweli. kuna wachambuzi hawaonagi positive about Govt though hawana chama.
  10. odinyo

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anaweza kuniambia 'ideology' ya rais Magufuli

    Ideology ya JPM ni waTZ kujiletea maendeleo ww mtu binafsi kwa kufanya kazi 2. kua na nidham 3.no classes
  11. odinyo

    JamiiForums Tanzania Lema, omba msamaha kwa mheshimiwa Rais Magufuli

    neno hilo 'kuropoka ropoka hovyo mwisho 2015'
  12. odinyo

    JamiiForums Tanzania Irene Isaka: NSSF hakuna fao la kujitoa

    ni lazima, ila chagua/hiari ni mfuko gani unaotaka kwenda
  13. odinyo

    JamiiForums Tanzania Waandishi wote wakilazimishwa kuwa na "digrii" zile kazi za wenye diploma na certificate itakuwaje?

    YAANI ndio maana wasomi wetu wanajiabisha wenyewe sasa hv kila chuo KINATOA bACHELOR its not proper, hata kama lengo letu ni kuongeza idadi ya wasomi tungeacha ngazi zifuatwe. maana certificate wanahitajika,diploma wanahitajika. Mwl Nyerere degree, NIT degree, magogoni Degree,CBE Degree...
  14. odinyo

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya 57 kwa watu wenye ukarimu duniani

    si takwimu ya kweli kabisa, kwa research yangu isiyo rasmi Wakenya wenyewe wanatukubali waTz kwa ukarimu ila ttz ni waTz hatujitangazi!! ?? tunawaachia viongozi wachache na wazalendo kadhaa hii ni kwa kila mTz anapokua nje ya nchi ni jukumu lake la kwanza kuiweka Tz mbele na hata pia tunapokua...
  15. odinyo

    JamiiForums Tanzania Kwa waliokuwa wanakula Pizza Mgahawa wa Uchumi Supermarket

    haaaa, mumiani!! kweli Makao makuu yahamie Dom yanaweza kusambaza maendeleo TZ NZIMA. maana hawa watu wa mikoani hawali vizuri kwa viiman vya ajabu ajabu
Back
Top Bottom