Gazeti Uhuru waandika Sumsung badala ya Samsung

Gazeti Uhuru waandika Sumsung badala ya Samsung

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,313
Reaction score
103,537
c5dbcddb307b00c0922c530f371f516e.jpg
 
haina shida sana kwakuwa wasomaji ni wana CCM
 
So what, if so. Au wewe unaongea Korean fluently?
By the way hilo sio neno la kiswahili wala kiingereza,makosa kawaida.
 
China kuna bidhaa za Sumsung na Korea ni Samsung.

Wachina ni wahuni Sana wa kutohoa majina ili kukwepa Sharia za "Trade Mark" ni Kama ilivyo Nokla Waliyotohoa jina from Nokia.
 
Back
Top Bottom