Recent content by OckyT

  1. O

    TANGAZO TANGAZO!

    Mkuu kwa ekari moja unauzaje??
  2. O

    Umoja wa Ulaya (EU) wasikitishwa na Vifo. Waitaka Tanzania kuheshimu Demokrasia na Utawala wa sheria

    Sikujua kama kuna baadhi ya watanzania wanaoshabikia huu utawala. Shame on u. Subiri siku itokee kwa ndg yako ndio uje ucomment hapa.
  3. O

    Anatafutwa muhudumu wa kufuga kuku

    Mkuu, nimesomea general agriculture Mati tumbi. Nipo vizuri sana kwenye kuku na nguruwe sababu nina uzoefu. Kama tukakubaliana katika mshahara hutojuta kuniajiri.
  4. O

    Roho ni nini? inaenda wapi baada ya kufa?

    Ile Roho kwa kuwa ilikuwa ya Mungu na ukikosa sehemu ya kwenda ndio maana ilimrudia na akafufuka. Au hujui kama Yesu alifufuka mkuu???
  5. O

    Yawezekana kuwepo urafiki usio wa kimahaba kati ya mwanaume na mwanamke?

    Mkuu Si kweli Inawezekana huko huko mkoani, mm wakati nipo kijijini nilikuwa na best friend wa kiume alikuwa baunsa Sana sasa akawa rafiki yangu na wale rafiki zake wakawa rafiki zangu, kwa kweli nilikuwa na protection ya kutosha and I was so happy, mpaka siku yakuondoka kwenda mjini duh...
  6. O

    Yawezekana kuwepo urafiki usio wa kimahaba kati ya mwanaume na mwanamke?

    Ndio mkuu huwa tunakaa sehemu tulivu na kwake nakwenda na kwetu anakuja lakini haijawahi kutokea eti kuwa na hisia za tofauti mkuu
  7. O

    Yawezekana kuwepo urafiki usio wa kimahaba kati ya mwanaume na mwanamke?

    Inawezekana sana, mm nina best friend yangu mwanaume for 6 years huwa tunashauriana mengi, najua relationship zake anajua yangu. Mpaka cjawah kuwa na girlfriends. So nakubali 100%
  8. O

    Samsung Z2

    Hapo pagumu mkuu simu bado mpya sanaa haina hata mchubuko ukifika 15 fresh
  9. O

    Nina watu watatu, nataka kuachana na mmoja

    Duh basi shughuli ipo mkuu
  10. O

    Nina watu watatu, nataka kuachana na mmoja

    Poa Malaya mwenzangu
  11. O

    Nina watu watatu, nataka kuachana na mmoja

    Pumbavu wewe Malaya mwenyewe. Tuheshimiane nguruwe pori wewe kila mtu ana Uhuru wa kutoa mawazo yake. Wewe ungekuwa bikira Maria ungekuwa kanisani unasali. Kwa hiyo avatar yako tu u are worse than her. Stupid
  12. O

    Nina watu watatu, nataka kuachana na mmoja

    Wengi wenu mmekimbilia kumhukumu bila kujua challenges alizozipitia au anazozipitia katika ndoa yake mpaka anaomba talaka na mwanaume hapo hapo anakataa kuna kitu yawezekana mume hajali chochote hata mwanamke alale na wanaume 5. Hivi wewe mwanaume mkeo awe na michepuko miwili usinotice kitu...
  13. O

    Kwa style hii ya mahusiano michepuko itadumu milele

    Hahahaha cyo povu mkuu ndio ukweli wenyewe laiti wangechukulia kawaida watu wasingeuana. Mbona wazee wa zamani walikuwa na mwanamke zaidi ya mmoja lakini hawakuwa wanauana?? Au wanawake wa zamani hawakuwa wanapenda??? Tatizo ni umimi. Hapo hakuna upendo ni ubinafsi unawasumbua
  14. O

    Kwa style hii ya mahusiano michepuko itadumu milele

    Tatizo wenye ndoa wanajiona wao ndio wamepatia kwa kuolewa na kujifanya wanaumiliki wa mwanaume zaidi hata ya Mungu. Nyie wadada mlioolewa kwann mna ubinafsi hivyo??? Wakati Mungu alivyokuwa anawapa nguvu akina Ibrahim na Suleiman kuwa na wanawake wengi hakuwa anaona??? Wanaume wenyewe wachache...
Back
Top Bottom