- Thread starter
- #21
Aonyeshe nia kwa kutaja contact yake nitamuhojiNipe adress zako au namba zako na utaratibu wa kutuma maombi ili nimuelekeze namna ya kutuma.
Aonyeshe nia kwa kutaja contact yake nitamuhojiNipe adress zako au namba zako na utaratibu wa kutuma maombi ili nimuelekeze namna ya kutuma.
Unamaanisha nini hapo mkuuHapana atapata mshahara kulingana na matokeo makubwa sasa (BRN) 0-1=1
2-3=2
4-5= 3
In thau
Kwanini usitumie PM mkuu kama sehemu ya kuhojiana na wanaotaka kaziAonyeshe nia kwa kutaja contact yake nitamuhoji
....by the way, je umeshampata?Hapana atapata mshahara kulingana na matokeo makubwa sasa (BRN) 0-1=1
2-3=2
4-5= 3
In thau
0746202801. Anaitwa AlexAonyeshe nia kwa kutaja contact yake nitamuhoji
Mshahara tarajiwa,kama unalipwa ndani ya viwango hivyo na ushahidiUnamaanisha nini hapo mkuu
prime minister;PM ndio nini?
Private messagePM ndio nini?
We umeshawahi fanya shughuli za ufugaji wapi na aina ya malipo yalikuwaje na shd ngapi kwa mwezi,msimu?Mkuu, nimesomea general agriculture Mati tumbi. Nipo vizuri sana kwenye kuku na nguruwe sababu nina uzoefu.
Kama tukakubaliana katika mshahara hutojuta kuniajiri.
Elezea ulikifanya na mshahara ,sasa hivi uko wapiMkuu ni pm mimi sijasoma ila ninauzoefu wa miaka 7 kwenye ufugaji wa kuku wa mayai na wanyama pia najua kwanzia kupokea vifaranga chanjo zote magonjwa yote ya kuku pamoja na tiba zake' najua kutengeneza chakula formula nazijua zote ukitaka nikupeleke sehemu zote nilizofanya kaz nipo tayar kwani sijagombana na bos hata mmoja wamesitisha tu ufugaj nipigie tuongee vizuri 0762909045
Kwayo abaki hukohuko anakilipwa vizuri aache tamaa,hapa kazi tu fresh frim school (,FFS)Pale shamba kuna kijana jirani anatunza shamba la mtu la kuku;
ni Zaidi ya miaka kumi tokea aanze kufanya hii kazi;
yai la kuku wake ni kubwa tofauti kabisa na mayai mengine;
Ila naona boss wake anamlipa vizuri na ndiyo maana amedumu naye muda mrefu;
Tafuta anayelipa kileo uone vyuma vilivyokaza[emoji24]Wafugaji wa kisasa wengi wao wanalipa kizamani.
Umeongea ukweli Panzi DumeTatizo huyu bwana nimegundua anataka kumuajiri MTU ambaye hana taaruma Na hiyo fani ili amkaange kwenye mshahara. Anashindwa kuelewa kwamba hiyo biashara ni kubwa sana,ukiangalia haraka haraka kwa KUKU hao 1000 ni mtaji mkubwa sana ambao akiajiri MTU professional Na kazi hiyo Na akamlipa vizuri,baada ya miezi minne au mitano atakuwa level nyingine kabisa. Ataajiri MTU Wa kawaida matokeo yake ugonjwa ukiingia kwenye banda hajui chochote matokeo yake Kuku wanakufa inakuwa hasara. Kumbuka biashara ya KUKU haitofautiani na biashara ya Samaki au biashara ya nyanya,ukijichanganya kidogo tu maumivu yake ni makubwa sana.