Kwa style hii ya mahusiano michepuko itadumu milele

Nipo duniani muda mrefu naweza kujiita muhenga ila hakuna ulichoandika ambacho hakikuwepo au kilikua ajabu kama unavyotaka kutuaminisha
Nakubaliana na wewe. Sasa hivi mambo yamekuwa wazi kwasababu ya mitandao, na imekuwa rahisi zaidi watu kuwasiliana. Ila hakuna jipya chini ya jua
 
Vipi kuhusu hii?
Suala la ushoga na usagaji...ilikuwa huna hata ujasiri wa kutamka maneno hayo lakini now ni kitu cha kawaida, tumekubaliana na hali na hatuoni tatizo tena tuna msemo sikuhizi "kila mtu apambane na hisia zake"!! .
Nipo duniani muda mrefu naweza kujiita muhenga ila hakuna ulichoandika ambacho hakikuwepo au kilikua ajabu kama unavyotaka kutuaminisha
 
Vipi kuhusu hii?
Suala la ushoga na usagaji...ilikuwa huna hata ujasiri wa kutamka maneno hayo lakini now ni kitu cha kawaida, tumekubaliana na hali na hatuoni tatizo tena tuna msemo sikuhizi "kila mtu apambane na hisia zake"!! .
Time flies, Hatuwez kusimama pale pale Ushoga na umalaya ndio biashara kongwe kuliko zote
 
Tatizo wenye ndoa wanajiona wao ndio wamepatia kwa kuolewa na kujifanya wanaumiliki wa mwanaume zaidi hata ya Mungu. Nyie wadada mlioolewa kwann mna ubinafsi hivyo??? Wakati Mungu alivyokuwa anawapa nguvu akina Ibrahim na Suleiman kuwa na wanawake wengi hakuwa anaona???
Wanaume wenyewe wachache hao hao mapadre hao hao mashoga sasa waliokosa waende wapi??
Ha ha ha povu sasa ilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tena sasa hivi ni ngoma ndroooo
Me wanachepuka kwenye ndoa Ke nao hawajabaki nyuma
Kwenye watoto 5, mmoja tu ndio wa ndani ya ndoa.............Napita lol
 
Kumonitor mawasiliano ni kujitakia pressure. Mwache mtu akupende yeye kama yeye..ukiona umeanza kufuatilia mawasiliano ya mpenzi wako ujue hakuna penzi hapo mnapoteza muda.
Kufuatilia ni muhimu kwa mapenzi ya kimjinj mjini. Au hujui kinachoumiza nafsi ni kujua ulifanywa mjinga for all that time you been together?
Walau ukiona chenga unajua chanzo na kufanya uamuzi wa haraka na kimya kimya.
 
Haya lakini ni kama unaishi kwa machale, taabu yote ya nini?
Sioni tabu nipo comfortable na nshajizoelea tu. Kama hujawahi kukutwa na bw. Pepsi ndio huwezi elewa, mwanamke wa kibongo ata akiishi mtaa wa tatu toka ulipo ni kirambasi
 
Back
Top Bottom