Recent content by ocampo seven

  1. O

    Ridhiwani awaburuza mahakamani Dk Slaa na Mchungaji Mtikila

    riziwani yupi huyo...rihiwani kikwete au ridhiwani kikwete nyaronyo kichere...kama ni huyo wa kwanza basi atashinda kesi ila kama ni huyo wa pili anaemiliki malori kakwisha(kushneiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii)
  2. O

    Graduate yupi bora?

    swali lako alina uhalisia kwa maana ya mda wenyewe wa field,rekebisha afu upost tena.....ila kwa msaada wa haraka wanafunzi wa udsm always ni the best.
  3. O

    Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    kama ni habari za kuaminika mbona ujataja jina la huyo kijana bila shaka ni january makamba..........
  4. O

    Mh. Betrice Shelukindo amgeuka Mh.Sitta

    sio kamgeuka sita, thax god kagundua mapema unafiki wa sita manake duuu jamaaa ni international mnafik(mnafikist) wa hatari na sio shelukindo tu wanakuja wengi sana yetu yawe macho
  5. O

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    watu mtapiga kelele sana na sana ila ukweli utabaki pale pale kua lowasa is the only presidential aspirant ndani ya ccm for 2015 kwa watu makini na wasomi u cant compare lowasa na sita,membe,nchimbi,maige,labda kidogo sumae kiutendaji anaweza kua na uwezo kama wa lowasa......uchaguzi uliopita wa...
  6. O

    Bashe anataka kumfanya nini Nape?

    (pmakonda) sina hakika kama we ndie makonda halisi na kama ni wewe wala sishangai kwa sababu tunajua uwezo wako wa kufikiri in the world of essence and in the world of appearence sijui kama umenielewa manake duuuu uwezo mdogo.....then ushauri wa bure ungetumia muda mwingi kumalizia sup zako chuo...
  7. O

    Another Trip Overseas for JK: JK to lead Tanzania delegation to business forum in SA

    nchi kwa sasa inamaprezda wawili dk.bilal na luhanjo huyu jamaa ye ni mtalii wala tusishangae na hii kasema akosi awezi mtuma mjumbe kwa sababu anaenda pia kusherekea kujiuzulu kwa rafiki yake rostam unaambiwa moyoni kafurai sana sana manake mission imekamilika
  8. O

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    swali zuri sema its too general,safari ya wapi manake it differs africa, ulaya,asia ,america etc......vile vile na ukubwa wa msafara pia.....ila kwa huyu jamaa anavyosafiri na kundi lake kokote pale ndungu zangu mi nimebahatika kujua maswala ya mambo ya nje huu utawala unatumaliza na inshort...
  9. O

    Bashe ajipanga kugombea Igunga

    bashe is a young charisma politician within vijana walioko ccm,hivyo hata akigombea igunga atashinda tu huku akingojea kuchukua jimbo lake li nzega 2015........kwa wale wanaosema usomali,uuindi uarabu uelewa wao mdogo warudi shule na kusoma african philosophy.....who is african? je mwafrica...
  10. O

    Bashe anataka kumfanya nini Nape?

    hapo sasa ndo mtajua ukweli wa ccj kwa unafiki huuuu aliounyesha hapo ndo huo huo aliutumia kuazisha ccj,thax bashe tena kamanda bashe najua alisema mengi yatoe yote kwa kijana mnafiki kama huyu atufai kabisa 4 our generation........bora mchawi kuliko mnafiki mnafiki anakuuwa huku akijifanya ni...
  11. O

    Nape kumjibu Rostam

    nape ajui akifanyacho sijui ni uwezo mdogo wa kuchambua mambo,bado anaishi shimoni(allegory of the cave) na amjui jk vizuri kwani jamaa sio mtu akishakutumia anakudamp hana rafiki wa kweli anachoangalia ni interest zake,za mke wake na watoto wake.......kaka angu nape kua na macho zaidi ya mawili...
  12. O

    GE2010 Bashe akiri cmm 2015 kuwa chama cha upinzani.

    kwa hilo numuunmga mkono bashe make rostam ndo alikua injin ya ccm kiela,kibrain na kimkakati............bg up rostam
  13. O

    Efraim Kibonde amsafisha Rostam

    sio kilaza tuu ni mbumbumbu kwa akili yake anafikiri atapigiwa pande ili apewe udc,wakati ni failure kichwani...........................pili kaka shark futa kauli yako kua takukuru imebobea kwa rushwa
Back
Top Bottom