Graduate yupi bora? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Graduate yupi bora?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by njoro, Jul 19, 2011.

 1. njoro

  njoro Senior Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Graduate yupi bora kati ya huyu wa Mzumbe alienda field miezi 3,na huyu wa UDSM alienda field mwezi 1 na nusu,.,naomba msinishambulie mimi bali mshambulie thread,nawasilisha.
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Labda ungebainisha field sehemu gani... kuna sahemu wanapiga kazi ukikaa
  mwezi mmoja unagain ile mbaya... alafu kuna sehemu una kaa miezi mitatu
  kazi unayofanya ni ku browse na ku supply chai...

  Alafu swali lako ni assumption au?? Nani kasema UDSM Field mwezi na nusu??
  Hio wameweka in the basis ya wale ma Dr/Proff wanaopita, but ukwelli ni kua
  inatakiwa more than huo mda...
   
 3. njoro

  njoro Senior Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mambo ya chai na kubrowse achana nayo,me na assume wote wamenda field kujifunza na wote wanapga kazi,je ni nani atatoka bora zaidi?
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Sasa Njoro kama unazungumzia woote waloenda sehemu
  moja alafu mda ndio huo tofauti mbona ni wazi kua bora alokaa saana...
  Nilifikiri umeweka thread ili kujadili period ya ya field activity....
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hivi kwani PAW ni graduate mimi najua ni MOD
   
 6. Elisante Yona

  Elisante Yona Senior Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 130
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ndugu,

  Mwanafunzi anapoenda kwenye kazi kwa vitendo aidha maofisini au viwandani,ni ili afundishwe jinsi ya kufanya kazi,hapo hakuna aliye bora kwa mwenzake,baada ya kumaliza kazi kwa vitendo na kufanyiwa taathmini na wasimamizi wake kwa kutumia vigezo vilivyo wekwa ndio unaweza kuhukumu kuwa yupi ni bora kuliko mwingine kwa njia ya kusoma ripoti/taarifa zao walizo andika,Vinginevyo muda sio kigezo cha kupima ubora,kama ni muda tungesema wale wanafunzi wanaosoma digrii zao kwa miaka mitano ni bora kuliko wale wanaosoma miaka mitatu,Kwa hiyo cha msingi hapa ni kujiuliza kuwa mwanafunzi alipokuwa field je aliweza kufikia malengo yake.
   
 7. o

  ocampo seven Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  swali lako alina uhalisia kwa maana ya mda wenyewe wa field,rekebisha afu upost tena.....ila kwa msaada wa haraka wanafunzi wa udsm always ni the best.
   
 8. njoro

  njoro Senior Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kufanya kitu kwa muda mrefu kunasaidia mtu kuwa na uelewa mkubwa zaidi,.mfano mtu mwenye experience ya miaka mitano kazini hawezi kuwa sawa na mwenye mwaka mmoja,me naona Mzumbe ni the best
   
 9. njoro

  njoro Senior Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Me naona maoni yako yamekaa kinadharia zaidi,.mtu anaekifanyia kitu/au anaefanya kazi fulani kwa muda mrefu anakua bora zaidi ya yule ambaye amefanya kwa muda mfupi,na mtu anapokaa kwenye kazi kwa muda mrefu anapata nafasi ya kujifunza vitu vipya kuliko yule alieka kwa mwezi na nusu
   
 10. s

  sir echa Member

  #10
  Jul 19, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Graduate bora atajulikana mara baada ya kumaliza masomo yake atakapoanza kutumia elimu aliyoipata katika maisha halisi na kuweza kutoa mazao yakuleta faida katika taasisi anayoifanyia kazi na jamii inayomzunguka kwa ujumla.
   
 11. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mzumbe kozi gani,maana ukitoa law na education,wengine hawaendi field miezi 3-ni almost miez 4-na mtu akiamua anaweza kuwahi kuanza field akafanya zaid ya miez 5
   
 12. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Where you are ! that's a point! And must be born again. All of you say "BE BORN AGAIN."
   
 13. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Unaweka mbele vyuo kuliko watu. Hujaongelea uwezo wa watu, na "ceteris paribus" is an illusion to be pursued, but never attained.

  Schools don't make good graduates, good graduates make their schools.

  Mwanafunzi bora atakuwa bora Mzumbe au UDSM, mwanafunzi asiyeokoleka hata umpe private utors kutoka Harvard ni bure tu.

  At this point, unashindanisha degrees za mediocrity. Hawa wana historia na wako mjini, wale wako shamba.

  Almost all impressive products of UDSM/ Mzumbe attained that status mostly from their own efforts.
   
 14. Makoye Matale

  Makoye Matale JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 6,480
  Likes Received: 450
  Trophy Points: 180
  Wewe Mkuu Njoro una matatizo gani? Kwa nini unauliza 'leading question'? Kuna thread umeianzisha ya vyuo bora Africa ukatuambia Makerere University ni ya 10 na UDSM ni ya 34 sasa umeshindwa nini kufahamu Mzumbe University ni ya ngapi ili ulinganishe na UDSM? Baada ya kufahamu nafasi ya Mzumbe University wewe mwenyewe utapata jibu la swali lako.
   
 15. Nguchiro

  Nguchiro JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 365
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mnaleta yaleyale tena, jamani kama ajira zingeangalia vyuo its obvious kuna graduates wa vyuo fulanifulani ingekula kwao but the employment market isnt like that at all, juhudi zako binafsi, uwezo wa kujidefend na kuonyesha kujiamini ndo zinaangaliwa sio chuo inatia aibu and i wonder if you are realy thinking?kila siku thread ni za ubishani chuo kipi bora,mara chuo kipi kina magraduate wazuri, mara chuo kipi maarufu wat is ol that for?kuweni serious bwana, hatuwaelewi
   
 16. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  there's a point in here! Kiukweli kabisa
   
Loading...