Nape kumjibu Rostam

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,026
Jamaa yupo Dodoma kukanusha ishu nzima ya Rostam!! Ngoja tusubirie kwanza, inaoneka siasa uchwara ni za
Nape, Na yy Nape anamshutumu JK ndiye mwenye Siasa uchwara nae ajivue gamba, ngoja tuone hii movement.
 
nape kuna siku atavuliwa ngozi achuje damu na kujifia
Haiwezekani amseme JK bosi wake ana sias uchwara nadhani Nape anachanganyikiwa
 
Nape hamjui na hajamjua jk. kikwete ni m2 wa kutumia na kuacha hana tofauti na mtu anayetuane tumia condom akimaliza haja zake anaitupia mbali na kusahau fadhila zake.kamtumia lowassa,Rostam, sasa kawatuhumu kuwa ni magamba na hawafai ndani ya chama.Mwenzako akinyolewa zako tia maji but nampe yeye anachekelea badala ya kutia maji siku sio nyingi nae ataitwa gamba.
 
Nakubaliana kabisa huyu dogo anatumika tu na JK kuwmaliza mapacha watatu. Ama kweli JK ni mzee wa fitna! Imagine, Nape alivyogaragazana na Lowassa juu ya jengo la umoja wa vijana, wakina makamba wakam-condem huyu kijana, leo vuuu bin vap...anapewa ukuu kwenye chama! Anakatumia na kazi ikiisha atakatupilia mbali...wait and see.
 
Jamaa yupo Dodoma kukanusha ishu nzima ya Rostam!! Ngoja tusubirie kwanza, inaoneka siasa uchwara ni za
Nape, Na yy Nape anamshutumu JK ndiye mwenye Siasa uchwara nae ajivue gamba, ngoja tuone hii movement.

Huu ni uchochezi! Wewe umejuaje kwamba yeye Nape ndiye amelengwa Nape wakati maamuzi ya kujivua gamaba yalikuwa ya NEC. Nape amekuwa ni mouth piece wa maamuzi ya NEC.
 
anataka kukanusha nini sasa? maana RA ameeleza kwanini ameamua kuachia ngazi ssa yeye nape anatakanusha nini,inabidi awe makini sana huyu kijana
 
Natoa Hoja:

Uamuzi wangu wa kuachia nafasi zangu zote za uongozi nilizopata kwa tiketi ya CCM haukutokana na wala haumaanishi kukubaliana na shinikizo lililopotoshwa kuhusu azma ya utekelezaji wa dhana ya kujivua gamba, la hasha, bali dhamira ya dhati ya kuachana na siasa hizi uchwara (gutter politics). - Rostam Aziz.

Utetezi ndugu katibu mwenezi wa chama cha kujivua......
 
hili liko wazi, kuongelea uadilfu ndani ya ufisadi haiwezekani. Kupona kwake atoke CCM labda
nape kuna siku atavuliwa ngozi achuje damu na kujifia
Haiwezekani amseme JK bosi wake ana sias uchwara nadhani Nape anachanganyikiwa
 
Nape hamjui na hajamjua jk. kikwete ni m2 wa kutumia na kuacha hana tofauti na mtu anayetuane tumia condom akimaliza haja zake anaitupia mbali na kusahau fadhila zake.kamtumia lowassa,Rostam, sasa kawatuhumu kuwa ni magamba na hawafai ndani ya chama.Mwenzako akinyolewa zako tia maji but nampe yeye anachekelea badala ya kutia maji siku sio nyingi nae ataitwa gamba.
Jk ukiwa nae ndio rafiki yako ila ukiondoka tu au akifanikiwa jambo lake anakutelekeza vibaya mno..nape amulize Membe alifanyiwa nn na jk..
 
nape ajui akifanyacho sijui ni uwezo mdogo wa kuchambua mambo,bado anaishi shimoni(allegory of the cave) na amjui jk vizuri kwani jamaa sio mtu akishakutumia anakudamp hana rafiki wa kweli anachoangalia ni interest zake,za mke wake na watoto wake.......kaka angu nape kua na macho zaidi ya mawili we bado mdogo sana,elimu bado ndogo u have long way to goooooooo.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom