Mh. Betrice Shelukindo amgeuka Mh.Sitta

sio kamgeuka sita, thax god kagundua mapema unafiki wa sita manake duuu jamaaa ni international mnafik(mnafikist) wa hatari na sio shelukindo tu wanakuja wengi sana yetu yawe macho
 
Huyu Beatrice ananikumbusha ushahidi mmoja uliotolewa na mwanamke mmoja nchini Kenya miaka ya nyuma sana kwenye kesi maarufu sana. Huyu mwanamke ushahidi wake mahakamani ulitiliwa mashaka kwa vile ALIKUWA NA WATOTO SABA ALIOZAA NA WANAUME TOFAUTI SABA NA AMBAO HAKUWAKUMBUKA!!! Ukishazurura namna hii watu hawatakuchukulia kuwa unasema ukweli wowote pengine kama uwe ni upotoshaji ili watu tusahau shida zetu za msingi kama umeme.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom