Recent content by obseva

  1. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini 99% ya Watu ambao Wanachukiwa pasipo sababu ya Msingi kuanzia katika Familia na Jamii ndiyo Mwenyezi Mungu huwabariki na kuwainua Kimaisha?

    Maranyingi watu hawa wanakuwa na kitu kikubwa/ destiny! Na jamii inashindwa kuwa elewa. lakini pia kwa kuchukiwa kwao kunawafnya wafocus kutimiza ndoto zao na kupunguza miruzi ambayo kwa kiasi kikubwa ndiyo sababu ya wengi kuanguka. Nimejifunza vitu vingi maishani lakini nachoamini kama unaweza...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa waumini kuamua kuhama Makanisa wahamie yaliyotulia ambayo ukienda kuabudu Mungu unatoka umemuabudu Mungu kweli sio siasa

    Ungekuwa unamjua Mungu na unajua maana ya neno ufalme wa Mungu Matayo 6:33 usingeandika hicho . Ila yamefichwa machoni pako.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu yupo nyuma ya Askofu Gwajima?.

    Fanya home work yako ujue elimu yake, ila pia ni mtu wa Mungu na wengi walio nyuma yake ni Watanzania wa wa kawaida wasiopende utekaji
  4. O

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu yupo nyuma ya Askofu Gwajima?.

    Kama unamfahamu vizuri Gwajima huwezi uliza hicho unachofikari, pitia historia yake na passion yake na utajua mabadiliko ni kiu yake ya muda mrefu mnoo
  5. O

    JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa DGIS na Taasisi yako: Msipomtumia Tundu Lissu kupata Katiba Mpya na Bora sasa, mtajuta milele.

    No package carries fit all size at window of oppprtunity, it is a user to select issues of intetest and fix out
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mungu hana msaada wowote katika maisha yangu

    Nimekuelewa sanaaa, future yako ni kubwa mnoo na vita yako imekuwa kubwa pia, hivyo moyo umefadhaika. Na utajua sio muda mrefu Kuwa Mungu yupo na anaishi. Hii haitakuja kama ushuhuda wa mtu, bali wewe mwenyewe utashuhudia. Maana utaona na kukiri kwa moyo wako. Pole sana giza limeendelea sana...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mo & METL out, tuachie Simba yetu

    Sidhani kama shida ni MO, Nadhani ni nmna usajili wa simba ulivyo na mgao wa madaraka kwa mujibu wa katiba na miongozo ya simba. Kuna ngazi nyingi za maamuzi yanayotoa mianya mingi kuidhibiti timu. Hata ungekuwa MO, kwa usajili wa Simba ulivyo autonomy ya timu ndogo kwa MO. Watu wanatumia...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Tabora: Anayeidai TRA Milioni 986, Ramadhani Ntuzwe adaiwa 'kujiua kwa risasi'

    Nadhani wewe hukijui kisasi Cha Mungu, haki ya mtu haipotei mtalipa tena kwa machozi. Hadi uje ujue kwanini unaumia kilio kitakuwa chako tutosha. Ombi tu Mungu aturehemu na iwe kifochake isiwe sababu za kibiashara.
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kujifunza Data analytics Online

  10. O

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

    Jiwe walilolikataa waashii....
  11. O

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    MWesee, lwega, lugonrsi, kabatini, katuma, center maria, kapangaa
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania, Kenya na Uganda Kuwa Mwenyeji wa CHAN 2024

    Nimevutiwa jinsi citizens walivyoandika hii Habari, sijui Kama waandishi wa Habari wa Tanzania TFF na wizara Husika mmejiandaa kuibrandi TZ kupitia fursa hii. Vinginevyo ngoma itasikika zaidi kwa jirani yako.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa tanzania wanampenda na kumuamini sana Rais samia, mataifa duniani yanamkubali mno

    Ila ujue na ukumbuke wakikupenda sanaaa, ujue unawatumikia vyemaaaa na unatimiza ndoto zao.
  14. O

    JamiiForums Tanzania Tusipoangalia kanda ya ziwa itatuletea tyranny of the majority

    Unahoja ila ni kwa baade kama hawatachufuliwa lugha!
Back
Top Bottom