Tanzania, Kenya na Uganda Kuwa Mwenyeji wa CHAN 2024

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,107
49,809
Baraza la Michezo la Cecafa Kupitia Rais wake Wallace Karia amesema Nchi za Afrika Mashariki zitakuwa mwenyeji wa mashindano ya Mpira wa Miguu Kwa Wachezaji wa Ndani ya Bara la Afrika yaani CHAN.

Mashindano hayo yanatarajiwa kufanyika kuanzia September 2024 na kuwa kama Kilimo Cha maandalizi kuelekea Afcon 2027.

Screenshot_20231218-224057.jpg
Screenshot_20231218-224150.jpg

My Take
Hongera sana awamu ya 6 na kongole kwako Karia Kwa Umafia wako umeleta Chan Tanzania maana awali yalikuwa yafanyike Kenya pekee.
 
Kishindo cha awamu ya 6?

Ukiwa chawa akili inakuwa ndogo kama chawa.
Wewe akili unazo? Ndio ni kishindo Cha Mama Kwa sababu ni katika awamu yake Tanzania inang'ara kwenye Kila kitu.

Wewe Kwa akili Yako Ukiwa na Kiongozi nyumbu hayo yatatokea?
 
Nimevutiwa jinsi citizens walivyoandika hii Habari, sijui Kama waandishi wa Habari wa Tanzania TFF na wizara Husika mmejiandaa kuibrandi TZ kupitia fursa hii. Vinginevyo ngoma itasikika zaidi kwa jirani yako.
 
Waandishi wengi wa bongo ni kanjanja na hawaelewi kazi Yao Kwa Nchi kama mhimili wa 4 wa dola
 
Nimevutiwa jinsi citizens walivyoandika hii Habari, sijui Kama waandishi wa Habari wa Tanzania TFF na wizara Husika mmejiandaa kuibrandi TZ kupitia fursa hii. Vinginevyo ngoma itasikika zaidi kwa jirani yako.
F4 failure wengi ndo waandishi huku Tz.
 
Back
Top Bottom