Kama unamfahamu vizuri Gwajima huwezi uliza hicho unachofikari, pitia historia yake na passion yake na utajua mabadiliko ni kiu yake ya muda mrefu mnoosio jambo la kawaida kwa sasa mwanachama wa CCM kutoka hadharani na kuja kuongea bila uoga kuhusu masuala ambayo bunge letu limetupilia mbali mjadala husika,
Nani anampa kiburi mzee wa kawe?
kwenu jf great thinkers