Tena Raisi afanye haraka sana ili tujue nini kinaendelea kwenye makampuni yanayochimba dhahabu na Almasi mfano GGM, ACACIA, MWADUI, TANZANITE ONE, CATA MINE, na mengine mengi. Pia sheria ya gase na madini ipitiwe upya kabisa. Pia yale maazimio ya bunge ya mwaka jana juu ya IPTL pia yale matrioni...