Tunajua kwa sasa Kenya wanabadili reli ya zamani wanayoita ya mkoloni kwenda reli mpya ya mchina SGR, reli hii ni tofauti kabisa na reli ya zamani hivyo mabehewa ya zamani yatakosa kazi.
Kwa kuwa sisi tumetenganisha umiliki wa reli na uendeshaji wa shughuli za reli, kwa maana reli iko chini ya RAHCO na uendeshaji wa reli yaani mabehewa navichwa vyake viko chini ya TRL basi turuhusu Uganda Railways kufanyakazi nchini Tanzania chini ya RAHCO kwa kutumia behewa za zamani ambazo hazitatumika tena kwa upande wa kenya wala uganda.
Pia turuhusu mashirika binafsi kuendesha shughuli za usafirishaji wa reli, mfano simba cement waliwahi kodi behewa za africa ya kusini na zikafanyakazi reli ya kati pasipo tatizo lolote, hivyo makampuni kama Bhakresa twiga cement dangote na Mwanza huduma yanaweza leta vichwa na mabehewa yake yakafanyakazi katika reli ya kati chini ya RAHCO na kuingizia mapato. pia kwa namna moja au nyingine tutakuwa tumepunguza msongamano wa maroli katika barabara zetu.