Maafisa wa Kenya, akiwemo Katibu Mkuu wa Nishati wadakwa bandari ya Tanga

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,510
28,416
Maafisa kadhaa wa Kenya wakiwemo Katibu mkuu wa wizara ya nishati wameshikiliwa na maafisa wa uhamiaji mjini Tanga baada ya kujiingiza kwa siri katika msafara wa Waziri wa nishati wa Uganda aliyekuja nchini kufanya mazungumzo "ya siri" na serikali ya Tanzania kuhusu sakata la bomba la mafuta.

Wamenyang'anywa pasport na kuwekwa kizuizini mpaka mazungumzo yatakapoisha ndipo waruhusiwe kuuliza feedback ya kikao.

Leo Waziri wa nishati wa Uganda alikuja kufanya mazungumzo na serikali ya Tanzania kumbe jamaa walikua wamejichomeka kisiri na kujifanya nao ni Waganda, walipofika tu wakastukia wamefanyiwa umafia kwa kuzungukwa pande zote na kunyang'anywa passport zao.

Mashuhuda wanadai jamaa walibaki kulia lia tu wakaambiwa kaeni hapa mpaka tutakapo maliza mazungumzo ndipo mrudi kwenu, mpaka mida hii Waziri wa Uganda yupo kwenye mazungumzo na haijulikani hatma ya maafisa hao wa Kenya.

Naona Magufuli sasa anaanza kurudisha hadhi ya Tanzania, ule unyang'au nyang'au tuliokukwa tunafanyiwa na hawa wajinga sasa utakwisha.

UPDATE: Maafisa hao wameshaachiwa

==========================

'WE ARE CAPTIVES'

Mr Kamau confirmed that the passports of the Kenyan officials were confiscated when they arrived in Tanga to inspect the port, which has been proposed as a potential exit point for Uganda’s crude oil.

The Tanzanian officials took away the travel documents of Mr Keter, Petroleum Principal Secretary Andrew Kamau, his Energy counterpart, Mr Joseph Njoroge and Lapsset CEO Sylvester Kasuku, as they attempted to enter the Tanga Port in the company of the Ugandan delegation.

Tanzanian authorities were reportedly paying back Kenya’s failure to invite them to Lamu, or to the talks held at State House, Nairobi, between presidents Uhuru Kenyatta and Uganda’s Yoweri Museveni on Monday.

“We are basically captives here. They have refused to give us back our passports for about one hour. They have also refused us entry into the port of Tanga,” the PS told the Daily Nation in a telephone interview.

“They only allowed the Uganda delegation into the port,” he said.
Their passports were returned after more than one hour.

The Geneva Convention of 1961 protects all accredited diplomats. Diplomatic passport holders arriving at a foreign port are usually given certain privileges to pass through. This is aimed at protecting foreign diplomats from unnecessary impediments in the conduct of their business.

However, it is the duty of a sending Foreign ministry, through the nearest embassy, to alert the host country of a visiting delegation.

Yesterday, it was not clear whether Kenya had alerted Tanzania of the impending tour.

After the Monday meeting, the Ugandan delegation, led by Ms Muloni, and the Kenyan team headed by Mr Keter, were tasked to hold meetings to come up with a harmonised position on the pipeline and report back to the two presidents in Kampala in two weeks.

After holding day-long meetings on Tuesday, the two teams yesterday flew to Lamu to inspect the progress in the construction of the port.

LAMU PORT VISIT

At Lamu, the officials visited the site where the first three berths of the port are to be constructed.

They later held a closed-door meeting with Lamu’s Lapsset stakeholders, Lamu County Lands Executive Amina Rashid and experts from the oil sector. They later flew to Tanga.

Foreign Affairs Cabinet Secretary Amina Mohamed told the Nation last evening her ministry had instructed the Kenyan High Commissioner to Dar es Salaam, Mr Chirau Mwakwere, to sort out the hitch with the Tanzanian Government.

“Our High Commissioner is in contact with them, and he is trying to sort out the problem. I should be able to update you as the situation unfolds,” she said on phone.

However, Mr Mwakwere, a former Matuga MP, told the Nation that he had no information about the matter.

“I am not aware of what you are talking about. If I knew about it, I would have information. But let me check,” he told the Nation on phone from Dar.


Source: Daily Nation

Baadhi ya wachangiaji, wamechangia hivi;

Mnakumbuka niliwaletea hii taarifa, kabla ya Wakenya kukamatwa kule Tanga. Wapo walioona ni utani, WATANZANIA TUNAJIMALIZA WENYEWE.

UKWELI KUHUSU BOMBA LA MAFUTA GHAFI KUTOKA HOIMA UGANDA HADI BANDARI YA TANGA

Hivi Karibuni Rais wa Tanzania Mhe. MAGUFULI na Rais mwenzake wa Uganda Mhe. MUSEVEN walitoa kauli ya pamoja kukubaliana Bomba hili kupita Tanzania. Makubaliano hayo yalifanyika Tarehe 1 Machi, 2016 Jijini Arusha walipokuwa katika Mkutano wa 17 wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki.

Baada ya makubaliano hayo, Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo katika kutekeleza maelekezo ya Viongozi wake, aliitisha mkutano na Waziri mwenzake wa Uganda uliofanyika Tarehe 17 Machi, 2016 Jijini Aruaha na kuweka mpango kazi na utaratibu wa kuanza ujenzi wa Bomba hilo. Kabla ya mkutano huo, kulikuwa na mkutano wa wataalam na Makatibu Wakuu wa Tanzania na Uganda na Shirika la Mafuta la Tanzania TPDC. Makubaliano hayo yatawezesha wawekezaji wa kampuni za TOTAL, CNNOC na TULLOW waliopewa kazi ya kujenga Bomba hilo kuanza hatua za awali za kufanya upembuzi yakinifu na masuala mengine wakati Serikali zote mbili ya Tanzania na Uganda zikiendelea na taratibu za kisheria za kutekeleza mradi huu.

FAIDA ZA MRADI HUU WA BOMBA

Mradi huu ukikamilika utafungua njia ya kupata ajira kwa vijana wa Kitanzania katika maeneo Bomba litakapopita, ajira katika Bandari ya Tanga, Mapato ya Serikali kutokana na mafuta yatakayosafirishwa kutoka Uganda na meli ambazo zitakuja kuchukua mafuta katika Bandari ya Tanga. Mbali ya faida za moja kwa moja zitakazopatikana kutokana na uwekezaji wa moja kwa moja, Faida nyingine ni Kama ifuatavyo:-

1. Tanzania kufaidika na uwekezaji mkubwa wa dola za Marekani bilioni 4;
2. Fursa za ajira zaidi ya watu 10,000 wakati wa ujenzi na watu wapatao zaidi ya 1000 wakati wa kuendesha mradi;
3. Uwepo wa kazi kwa makampuni mbalimbali ya Kitanzania; na
4. Uboreshaji wa Bandari ya Tanga;
5. Kutoa nafasi ya kupata mkuza ambao unaweza kutumika siku za baadaye kusafirisha gesi/mafuta kuelekea mikoa ya Kanda ya Ziwa, Kaskazini na Kati.

Mikoa ambayo itakayofaidika na ajira kutokana na mradi huu kupita mikoa hiyo ni pamoja na Kagera, Shinyanga, Tabora, Geita, Singida, Dodoma na Tanga.

UZOEFU WA TANZANIA KATIKA UJENZI WA MABOMBA YA MAFUTA NA GESI

Katika nchi za Afrika Mashariki Tanzania ndio nchi pekee yenye uzoefu mkubwa katika kutekeleza miradi mbalimbali ya mabomba ikiwemo ile ya Bomba la TAZAMA, Bomba la Songo Songo, Bomba la Mnazi Bay, pamoja na Bomba kuu la gesi kutoka Mtwara hadi Dar Es salaam.

UPOTOSWAJI UNAOFANYWA NA BAADHI YA WATANZANIA WASIOIPENDA NCHI YETU

Tukumbuke kuwa, Kenya wanafanya mchakato wa Bomba hili lipite nchini mwao Kupita kaskazini mwa Kenya Bandari ya Lamu au Kusini mwa Kenya Bandari ya Mombasa. Kutokana na Kenya kuonesha nia hiyo ya Bomba kupita kwao, kumekuwa na ushindani mkubwa, ikiwemo Rais wa Kenya kuzuru Uganda kuonana na Rais wa Uganda kujadili namna ya kubadili msimamo ili Bomba lipite kwao. Hata hivyo, tafiti zote za awali zinaonyesha kwamba njia ya Tanzania hadi bandari ya Tanga ni nafuu na salama zaidi. Uchunguzi wetu umeonyesha kuwa tayari michezo michafu imeanza na wapo Watanzania wasio Wazalendo ambao wanatumiwa na wafanyabiashara ambao wanaona Bomba likipita Tanzania watakosa Tenda zakufanya kazi, Pia zipo kampuni ambazo zimepewa ahadi za kupewa tenda za ujenzi wa barabara kama watafanikisha bomba hilo kupita Kenya, wapo baadhi ya waandishi wamelipwa fedha, ili wapotoshe wananchi na kueleza kuwa Bomba hilo litaadhiri wananchi wa Tanzania, wapo Pia wanaosema eti litapita Serengeti kwenye mbuga za wanyama, kitu ambacho sio kweli, lengo lao ni kupotosha wananchi ili kuonyesha kuwa Bomba halina faida.

Watanzania tuungane kuhakikisha Bomba hilo kinapita Tanzania na tunafaidika na Mradi huu mkubwa.
 
Wakenya niliwaambia katika thread moja kuwa, mafia mkubwa katika miradi makubwa kama hii ni Professor muhongo ambaye mara nyingi ni silent killer, pili Magufuli ni mafia in nature wala Kenyatta hamuwezi na Huyu Magufuli ni direct killer wala hafichi sura,,, Sasa wakenya wasiishi kwa mazoea kudhani Tz ni ile ya juzi
 
Jamaa wa Kenya wanaleta conspiracy ili watuzidi kete kumbe mijitu now days kasi ya HAPA KAZII imetuingia damuni in mwendo Wa uzakendoo name khs hii dili Kenya kaishaikosa mana ghalama za kupitsha bombs Kenya n kubwa sn tofauti na tz pili wangewaweka hao maofisa Wa Kenya ndan ht Massa 72 ili washike adabu
 
Baada ya Rais wetu mpendwa ndugu John Magufuli kumshawishi Mseven kupitisha bomba la mafuta Tanzania, kuanzia bandari ya tanga, Wakenya wamekuwa wakiweweseka sana. Sasa kuna afisa wa serikali ya Kenya (kama anavyojitambulisha) ameanza kusambaza habari za uchonganishi.


Pauline Njoroge
8 hrs · Nairobi, Kenya ·

TANZANIA AUTHORITIES briefly detain Energy CS Charles Keter and top Govt officials touring Tanga Port. Team now returning to Kenya.

The Kenyan team had travelled to Tanga together with a Ugandan delegation involved in the crude oil pipeline discussions. The Ugandans were received very well while the Kenyan team was mistreated by the Tanzanian authorities.

Kama swala hili halikutokea (kuwa mistreated), nawaalika wana JF tumfuate huyu dada huko FB Pauline Njoroge | Facebook na Twitter, kama tulivyomfuata yule binti odinga, na kumfundisha kuwa hatupendi uzushi
 
Naona foreign affairs Kenya hawakufanyi kazi yao ipasavyo, hawakumpa taarifa Mr Mwakwere.
Kosa la kizembe tu kushindwa kushika simu na kupiga, ona sasa katibu mkuu wa wizara yenu ya madini anaaibishwa huku.

Alafu MK254 anatuitaga wavivu wazembe etc.
 
Manyang'au kabisa. Magu ameamua ni kufa kupona tupate hiyo biashara. Ngosha hana kampuni anayoipigania,hakuna 10% anayotaka...ugali wa mwl Janeth unamtosha. Tanzania kwanza. Long Live Magu wetu
Rafiki,nemepapenda hapo penye maandishi niliyoyatia rangi....Apige kazi Raisi wetu. Fanya kazi mwalimu wetu wa Kemia...
 
Back
Top Bottom