Uganda's Crude PipeLine alternatives Map tz

Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
24,205
22,656
Tanzania-Uganda-Pipeline.png


...kwa haraka haraka (kaskazinitz) hiyo pipe inapasuwa Tanzania craton, Lake Eyasi Yaenda Chini, mbuga nyekundu, masieda, datlaa , magara, minjingu , mswakini......

ushauri EIA izingatie vigezo......
 
Hivi ujumbe watz ulioenda Ugand kuonana na M7 umesharudi na jibu gani? ni Tz or Ken? naomba wakuu mwenye taarifa sahihi atajulishe. Much thank!!!
 
Mwenye maamuzi ni Museveni, hata kama Tanga to Uganda ingekuwa karibu kiasi gani,.
 
...True Mkuu ila hiyo survey ya bomba tz INATISHA
Yaa survey inatisha sana, ina kwa asili ya Museveni ni mpenda chokochoko sana, labda tufanye ule msemo wa serikali ya awamu ya tano, kila mwananchi afanye hivyo Mungu aingilie kati dili tupewe sie, :tuwaombee" tuliombee taifa.
 
Kenya wana advantage sema kinachowaponza ni ukosefu wa amani na tishio la ugaidi
 
Kwa kuiangalia tu hii ramani unaona kabisa juna kitu anakitafuta kwa nchi mbili hizi...
 
Kenya wana advantage sema kinachowaponza ni ukosefu wa amani na tishio la ugaidi


Kwa Uhuru na M7, sasa hivi Tz itakuwa haina uzito tena kutokana na tishio la vikwazo na uhusiano wako na mataifa ya nje, ukizingatia MCC na yale mataifa 10 yaliyositisha mtazamo bora kwa Tanzania. Siyo rahisi sasa tupate hilo bomba. Hoja kwetu ilikwa pia kutumia mfumo huo kusafirisha gas kwa mataifa hayo jirani. Kama tukiwekewa vikwazo kwa sababu ya Jecha na Jk, hakuna mtu atanunua gas yetu na hivyo mfadhiili yeyeote hatazingatia kuna usafirishaji wa gas tz wala nini.

Haya ndiyo matunda ya utawala dharimu wa ccm.
 
ispokuwa kwa njia ya Mombasa lazima itapita Nairobi city!/ FIDIA KWA ARDHI YA KENYA NA MAJENGO!.
KENYA SIO TANZANIA.ARDHI NI YA MTU MILELE./
 
Tanzania-Uganda-Pipeline.png


...kwa haraka haraka (kaskazinitz) hiyo pipe inapasuwa Tanzania craton, Lake Eyasi Yaenda Chini, mbuga nyekundu, masieda, datlaa , magara, minjingu , mswakini......

ushauri EIA izingatie vigezo......

Bora kama ni Bandari wachepushie Tanga kutoka Nairibi.

Kiuchumi na Kijamii kupitisha lote Tanzania ni (- plus), Kiusalama (+ plus) Kiufundi Bandari ya Tanga (+plus). Kupitisha lote Kenya bila kutumia bandari ya Mombasa kiuchumi na Kijamii (+plusplus)
Mbona Bomba la Gas toka Urusi kwenda Ulaya linapita nchi tofauti na kila mmoja anapata pesayake?
Kenya Tatizo lao nikusafirishia mafuta yao ya Lamu wakati kina ni hafifu
 
Back
Top Bottom