maana kupitia forex nilitaka hadi inapofika 2030 walau ukoo wangu niwe nimeutengenezea hata ma bilionea zaidi ya kumi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kafanye biashara itakayokupa hao mabilionea sasa.
Tatizo vijana mnatamaa sana,mnataka mambo yaende very fast.
Be Patient...
Hawa jamaa kila mtu akiamua kufanya muziki wake watachange ila usela mwingi pale.
Kuna zile pigo za mwana katutenga pale hiyo ndio itawazikia palepale yaan.
Na kwanin mtu asome vitabu ndiyo aje atuchanie?
Tatizo ni kuwa kikosi kazi wengi hawataki kuja na ladha tofautitofati hilo ndio tatizo.
Kila siku style ileile wawe wanaswitch kidogo.
Huyu jamaa simkubali kishenz, sijui arteta anamuonaje aisee.
Hapo mbele angekuwa anasimama auba tungekuwa tunauhakika na goal zake mbil per game, sema yupo huyo ndezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.