king herode
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 370
- 572
Ebhana huu uzi umenikumbusha mbali sana aice daah ilikuwa 2018 mwezi wa nne hv narud zangu gheto mida ya jion kuna wapangaji wenzangu walikuwa ni mademu tupu wa tatu wanaishi nyumba ya uhani mm naishi nyumba nyngne hivi,huku tunashare choo na bafu na ni lazima ukienda kuoga upite mbele maeneo yao so ni rahisi kuonana. Sasa siku hyo naenda kuoga kutupia macho pale aice nilikutana na demu mmoja mpya kakaa kwny ngazi kavaa nguo fulani hv akiinama inakuwa fupi ana tako jingi sana miguu myeupe mizur matiti madogo madogo akiangaika kuchemsha maharage mara mara achuchumae mara abonyoe mara hvyo yaan,ndani ya sekunde kama kumi na tano nilitahamaki afu alikuwa sura mpya kabisa pale dah nilipatwa na mshawasha zaidi baada ya kuona ile miguu aice duniani kuna watoto wazee.nikaanza mipango ya kumjua jirani yangu ni nani nikaambiwa ni ndugu wa wale mademu wapangaji wenzangu pale home.tamaa ikanijia maana dah nilikuwa na ukame fulani hv kipnd hcho afu nilikuwa nishapigwa kibuti na manzi angu afu sikuwa mtaalamu sana wa sound (domo zege). Hawa mademu walikuwa wanauzaga maziwa kwa wapangaji wengne pale home basi nikawa mteja wao mkuu ila bado nikashindwa kutupia sera nikaambulia kujua jina tu aice kuna siku nikajitutumua sana nikaomba namba yake ya simu tukaanza kuchat story nyng ni kuhusu maziwa tu daah nilikuwa nafeli sana mwanenu aice.katika nyumba hii tuliyopanga mwny nyumba alitaka ziwe kama sehemu inayojitegemea sana so katika miundombinu yake mmoja wapo ni duka ambalo lipo getini kabisa so ukiwa na hela unapanga chumba huku na hyo frame unaweka mtu unatuhudumia na sie wapangaji wengine sasa basi miongoni mwa wale dada watatu mmoja wapo alikuwa anauza duka na huyu ndugu yao alikuwa akija wanakaa wote hapo bhana. Sasa siku moja niko job napambana na hali yangu mara simu hii hapa kuchek dada mtu wa dukani anapiga pale ananipa Hi nikamzngua mm wala sitak kuongea na ww namtaka aneth(jina sio lake) akanipa nikaongea nae nikuletee zawadi gan na nn bas tukamaliza vistory nikakata simu bhana jion nikarud nikawapa choculate. Kesho yake ilikuwa jumamosi nimewahi kurud gheto nipo nasubiria game ya arsenal jion si mtoto akanichek kwa simu ya dada ake nikajua watakuwa wapo wote dukan anauliza upo na nani? Kuna mwamba alikuwa kapanga pale alikuwa anamvizia sana demu afu akawa anashinda sana gheto kwangu bhana daah,nikamwambia yupo gheto kwake akaniambia nakuja acha mlango wazi akaja akalock aicee demu alikuwa kapendeza sana ndo nikaona uzur wake wote dah wanyiramba weupe hv dah salute kwenu aice tuliongea mengi sana na sikuwa na mpango wa kula ila akili iligutuka alivyoanza kufumba macho kuregeza sauti na kunisogezea mdomo aice sijawahi kula demu mkali kama yule nilipiga sana siku hyo hata sikuamini nnachomkumbuka mpaka sasa ni alama za kojo lake kubaki juu ya mito yangu mpaka leo(foronya nilikuwa nimefua ikabaki mito wazi). Baada ya hapo niligonga kama mara mbili hv nyingne shoo za kibabe bidaae dada ake mkubwa akamtonya jamaa angu kwamba dogo alikuwa kaungua karithi ngoma kutoka kwa wazazi wake na mm niliipiga kavu kavu mara zote tatu maana ni aina fulani hv za watoto ambao kila ukiwaza kuchukua ndomu unahisi utaidhurumu nafsi kuja kupima yule demu kweli anao na alikuwa hajijui mm sijui nilinusurika vp ila ndo hvyo wazee Mungu alinipenda nipo ila moja ya kipnd kigumu sana aice ila demu mwenyew ndo alinifariji hadi nikakaa sawa yaan nilikuwa na stress kishenz afu kumbe sijaunawa dah
